Mkenya mwingine ateuliwa ukurugenzi Tanzania, natumai hatafanyiwa majungu kama yule wa Safaricom

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,675
48,451
Mpaka leo Voda wanahangaika hawajapata mkurungenzi wa kudumu, kila wanayemteua anageuza na kurudi kwao baada ya muda mfupi, na wameshindwa kumpata mwenye sifa za maana ndani ya Tanzania.

Walipomteua Mkenya ile awamu ya tano kwa zile chuki zao alikataliwa tena kwa makelele mengi.

Sasa kuna huyu tena, kateuliwa ukurungenzi, japo kwa awamu hii ya sasa tunaendana vizuri sitegemei chuki na makelele. Ifahamke haya makampuni ya kibinafsi hayapaswi kupangiwa, huwa hawateui tu hivi hivi, wanatafiti sana.

Mkitaka hizi teuzi zifanyike kwa wazawa acheni mdebwedo mjiongeze, watu tunakesha tukijielimisha na kusoma huku.

====================

Beatrice Nyamari

Ms Beatrice Nyamari. PHOTO | COURTESY

Dar es Salaam. Tanzanian firm, Smart Codes, a Smart Africa Group subsidiary, has appointed one of the continent’s prolific marketing leaders with a global mindset, Beatrice Nyamari, as its managing director.

Ms Nyamari spent over 15 years in senior leadership roles across Africa with global companies such as Coca-Cola, WPP, and Airtel Africa, as such, news that a local company has on-boarded one of the continent’s corporate marketing leaders has been causing quite the buzz.

Speaking to The Citizen, Ms Nyamari expressed her passion for innovationL “I’m a creative and flexible individual with a passion for understanding motivations and aspirations to help clients navigate the best innovative solutions while driving connections and remarkable experiences for consumers. I’m excited to join a team of multi-talented and well-rounded individuals I can work with to produce great results and help our clients reach their goals,” she said.

Ms Nyamari comes at a time when the Tanzanian business space is constantly evolving, with novel and innovative ideas disrupting established trends.

She received a Ministry of Education commendation in 2018 for her exemplary performance of duty during the 1st Copa Coca-Cola Under 16 tournament, Kenya’s first-ever Africa Championships.

She holds a B.Ed. (Arts) Honours, (Economics and Business Management) from Kenyatta University, IMC Training by Association of Media and Advertising in South Africa, Strategic Leadership Training from Coca-Cola University & Harvard Business School and is a member of the Public Relations Society of Kenya.

Tanzanian techpreneur and founder of Smart Codes, Edwin Bruno, who is now the CEO & CVO of Smart Africa Group exuded excitement and optimism following the new recruitment.

“We are excited to have Beatrice on board. Not only does she bring Pan African experience, but also an in-depth understanding of the industry, where it is going, and our organization’s priorities. This adds value to Smart Codes, which is on a mission to connect people and businesses, unlock infinite possibilities, and achieve more in Africa and beyond”.

Source: The Citizen
 
Soma makala yako vzr,unasemaje watqnzania wakushika nafasi hiyo hawapo,wakati CEO na founder wa hiyo kampuni iliyompa huyo dada kazi,ni mtanzania,Edwin bruno.usikurupuke kama umekutwa unakata gogo.

Mwenye kampuni,CEO ni mtz,managing director mkenya,harafu unasema hakuna watz wakushika hizo nafasi!

Unamjua Mwamvita Makamba,ni boss Vodacom kule SA,na hapa bongo wapo wageni kibao walioshika ukurugenzi,Wala hatuna shida nao,tatizo Lenu nyie watani,akija mbongo kwenu kuwekeza,mnaweka figisu kibao,kama mlivyomfanyia Rostam Aziz,ila sasa hv naona mmeachia milango

Sie hatuna shida, nyie njooni, na sie tutakuja kwenu,tutaenda nje, hakuna haja ya figisu, boss wa timu yetu ya Simba ni msouth Afrika wapo wazimbabwe, wazungu, sie hatuna bifu na wageni kuja kuwa ma boss bongo, tulikuwa na bifu na nyie watani zetu kwa sbabu ya mashauzi yenu.

Nipo Joburg hapa, jirani zangu no wakenya tunaishi vzr sana, kuliko kama wangekuwa wabongo
 
Hivi kwanini Wakenya mna ubaguzi sana!! Na hii iko ndani ya mishipa yenu ya damu, hata uchaguzi wenu tu ni ubaguzi tosha wa kikabila! Yaani kabila ni sifa ya kwanza katika taifa lenu? Hata we unatamba hapa JF kwakuwa sie hatuna ubaguzi wala hatujali kuhusu uwepo wako! Angalia hata mfano mdogo tu hawa ndugu zetu wazenji wanatubagua sana sie wa bar lakini wala hatujali, wao kuishi kumiliki biashara au ardhi huku bara wala sio jambo kwetu ila wao hata kumiliki biashara tu kwao ni kama laana! Ila mwisho wa siku mtakuja kuishia kubaya tu na ubaguzi wenu! Mtauana na kukimbizana kama wanyama.
 
Soma makala yako vzr,unasemaje watqnzania wakushika nafasi hiyo hawapo,wakati CEO na founder wa hiyo kampuni iliyompa huyo dada kazi,ni mtanzania,Edwin bruno.usikurupuke kama umekutwa unakata gogo.

Mwenye kampuni,CEO ni mtz,managing director mkenya,harafu unasema hakuna watz wakushika hizo nafasi!

Unamjua Mwamvita Makamba,ni boss Vodacom kule SA,na hapa bongo wapo wageni kibao walioshika ukurugenzi,Wala hatuna shida nao,tatizo Lenu nyie watani,akija mbongo kwenu kuwekeza,mnaweka figisu kibao,kama mlivyomfanyia Rostam Aziz,ila sasa hv naona mmeachia milango

Sie hatuna shida, nyie njooni, na sie tutakuja kwenu,tutaenda nje, hakuna haja ya figisu, boss wa timu yetu ya Simba ni msouth Afrika wapo wazimbabwe, wazungu, sie hatuna bifu na wageni kuja kuwa ma boss bongo, tulikuwa na bifu na nyie watani zetu kwa sbabu ya mashauzi yenu.

Nipo Joburg hapa, jirani zangu no wakenya tunaishi vzr sana, kuliko kama wangekuwa wabongo

Umekurupuka kuandika liinsha kabla kusoma uelewe nilichoandika kwanza, naongea kuhusu Vodacom na wivu na ubaguzi mliomfanyia yule mama Mkenya.
 
Yule mama wa voda alikuwa katili huko kenya kwenyewe alikuwa na kesi, sasa mtu wa hivyo wanini sisi? Wakenya wapo walioprove failure huku tz mmoja wapo ni waringo aliyekuwa airtel
 
Niliposikia tu mkurugenzi mwengine wa voda afunga virago nikajua Mkenya ameshaandaliwa .
Sasa mamlaka zetu wafuatilie vibali vya hao wakenya watakao kuwa wanaletwa kwa lugha kuwa ni wataalam wakati wataalam wetu wapo wengi tu.
Na hili nalijua wakenya watavutana sana na walikuwa wakilingoja sana hili.
 
Yule mama wa voda alikuwa katili huko kenya kwenyewe alikuwa na kesi, sasa mtu wa hivyo wanini sisi? Wakenya wapo walioprove failure huku tz mmoja wapo ni waringo aliyekuwa airtel

Kampuni ya Voda wana akili kukuzidi, walifanya headhunting hadi wakamfikia yeye na kutathimini kwamba anakidhi vigezo, sasa mliwazingua kwa majungu yenu mpaka sasa wanahangaika hawajapata mwingine mwenye uwezo wake, na hawataki kuajiri Mtanzania maana mtawafirisi kwa utepetevu na uzembe wenu.
 
Hawajapata mwenye uwezo wake kivipi? Wakati kila anaechaguliwa anakuwa promoted fasta? Wangekuwa wanaochaguliwa wanafukuzwa hapo ningekuelewa
 
Mnatia aibu sana, Voda wamekosa yeyote ndani yenu na wamekomaa....
 
Umekurupuka kuandika liinsha kabla kusoma uelewe nilichoandika kwanza, naongea kuhusu Vodacom na wivu na ubaguzi mliomfanyia yule mama Mkenya.
Kipindi kile,hata nyie mlikuwa mnatuleta figisu,ilikuwa ni ishu ya waliokuwa Ikulu,sie wananchi hatunaga shobo Wala kwere na wageni,na hatupendi kuletewa za kuleta,ukileta za kuleta,tunakutuliza,
Ule haukuwa wivu,ni ishu za kisiasa,maana,Idara zilizomkataa Yule wa voda,ndio hizohizo zilizompa huyu vibari vya kazi
 
Hayo maisha ya uongozi uliojawa ubabe ubabe hurudisha taifa nyuma...

screenshot_20220512-214944-jpg.2222313
 
Soma makala yako vzr,unasemaje watqnzania wakushika nafasi hiyo hawapo,wakati CEO na founder wa hiyo kampuni iliyompa huyo dada kazi,ni mtanzania,Edwin bruno.usikurupuke kama umekutwa unakata gogo.

Mwenye kampuni,CEO ni mtz,managing director mkenya,harafu unasema hakuna watz wakushika hizo nafasi!

Unamjua Mwamvita Makamba,ni boss Vodacom kule SA,na hapa bongo wapo wageni kibao walioshika ukurugenzi,Wala hatuna shida nao,tatizo Lenu nyie watani,akija mbongo kwenu kuwekeza,mnaweka figisu kibao,kama mlivyomfanyia Rostam Aziz,ila sasa hv naona mmeachia milango

Sie hatuna shida, nyie njooni, na sie tutakuja kwenu,tutaenda nje, hakuna haja ya figisu, boss wa timu yetu ya Simba ni msouth Afrika wapo wazimbabwe, wazungu, sie hatuna bifu na wageni kuja kuwa ma boss bongo, tulikuwa na bifu na nyie watani zetu kwa sbabu ya mashauzi yenu.

Nipo Joburg hapa, jirani zangu no wakenya tunaishi vzr sana, kuliko kama wangekuwa wabongo
Wa kawaida sanaaa
 
Mpaka leo Voda wanahangaika hawajapata mkurungenzi wa kudumu, kila wanayemteua anageuza na kurudi kwao baada ya muda mfupi, na wameshindwa kumpata mwenye sifa za maana ndani ya Tanzania.

Walipomteua Mkenya ile awamu ya tano kwa zile chuki zao alikataliwa tena kwa makelele mengi.

Sasa kuna huyu tena, kateuliwa ukurungenzi, japo kwa awamu hii ya sasa tunaendana vizuri sitegemei chuki na makelele. Ifahamke haya makampuni ya kibinafsi hayapaswi kupangiwa, huwa hawateui tu hivi hivi, wanatafiti sana.

Mkitaka hizi teuzi zifanyike kwa wazawa acheni mdebwedo mjiongeze, watu tunakesha tukijielimisha na kusoma huku.

====================

Beatrice Nyamari

Ms Beatrice Nyamari. PHOTO | COURTESY

Dar es Salaam. Tanzanian firm, Smart Codes, a Smart Africa Group subsidiary, has appointed one of the continent’s prolific marketing leaders with a global mindset, Beatrice Nyamari, as its managing director.

Ms Nyamari spent over 15 years in senior leadership roles across Africa with global companies such as Coca-Cola, WPP, and Airtel Africa, as such, news that a local company has on-boarded one of the continent’s corporate marketing leaders has been causing quite the buzz.

Speaking to The Citizen, Ms Nyamari expressed her passion for innovationL “I’m a creative and flexible individual with a passion for understanding motivations and aspirations to help clients navigate the best innovative solutions while driving connections and remarkable experiences for consumers. I’m excited to join a team of multi-talented and well-rounded individuals I can work with to produce great results and help our clients reach their goals,” she said.

Ms Nyamari comes at a time when the Tanzanian business space is constantly evolving, with novel and innovative ideas disrupting established trends.

She received a Ministry of Education commendation in 2018 for her exemplary performance of duty during the 1st Copa Coca-Cola Under 16 tournament, Kenya’s first-ever Africa Championships.

She holds a B.Ed. (Arts) Honours, (Economics and Business Management) from Kenyatta University, IMC Training by Association of Media and Advertising in South Africa, Strategic Leadership Training from Coca-Cola University & Harvard Business School and is a member of the Public Relations Society of Kenya.

Tanzanian techpreneur and founder of Smart Codes, Edwin Bruno, who is now the CEO & CVO of Smart Africa Group exuded excitement and optimism following the new recruitment.

“We are excited to have Beatrice on board. Not only does she bring Pan African experience, but also an in-depth understanding of the industry, where it is going, and our organization’s priorities. This adds value to Smart Codes, which is on a mission to connect people and businesses, unlock infinite possibilities, and achieve more in Africa and beyond”.

Source: The Citizen
Kwa akili yako unafikiri haya makampuji ya kigeni yanaweza kumteua mzawa kirahisi rahisi hivyo.Watadangaje kimapato?
 
Back
Top Bottom