Uko sawa. Nilichokuwa nafikiria (kutokana na mtoa hoja), ni kuwa ningeona 'drastic change' kati ya matokeo ya angalau miaka mitatu nyuma kitu ambacho sijakiona.Note: kwenye results za 2016 kuna phrase inasema "kwenye kundi lake". Therefore mwaka huu kulikuwa na mgawanyo katika makundi madogo zaidi kutokana na idadi ya candidates, that is why inaonekana kama kupanda kidogo kulinganisha na 2015 and 2014. Na ndio maana kitaifa kwenye kundi laki idadi ya shule ni kwenye elfu 8 but shule kitaifa ni zaidi ya hizo.
Hivyo inabaki kuwa mtoa hoja ana vitu vingine ambavyo inawezekana ni 'personal' na shule husika.
Tafakari.