From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,797
Narudia tena. Hii mada kama wanao hawasomi pale huwezi kuielewa.Kama hautakuwa na ujamaa na huyo mtuhumiwa, basi wewe utakuwa huyo mtuhumiwa.
Sisi wengine hatuna interest sana na hiyo feud inayoendelea baina yenu humo ndani, tuachotaka kujua ni kama David anazo sifa au hana?
Hayo maswali kawaulize waliomwajiri au mleta mada.