Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,868
Wala silaani. Ningelaani endapo ningeona muhusika anapinga hicho kitendo lakini anafanyiwa kwa nguvu. Naishia tu kusema ni maisha aliyoamua mwenyewe, anaburudishwa na bakora kama tu mimi ninavyoburudishwa na mvinyo mwekundu
.
Sent using Jamii Forums mobile app
.Sent using Jamii Forums mobile app
