Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,649
- 26,086
Tena huyu jamaa kafanana kabisa na member mmoja wa hapa
Watajisifu hata kwa hili tukio. Eti wamekuwa waafrika wa kwanza kuchapwa viboko na wachina, duh.Wakenya wapo tayari kwa lolote alimradi waonekane wanakubalika na wazungu.
Duh.Harufu mwaka 2050 watakuja apa na vidata vyao wakionyesha proudly wakenya wapo efficient na lugha ya Kichina kuliko nchi yoyote East Africa, yaani akili ni za kutawaliwa tawaliwa tu
Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
Ingekuwa imetokea Tz wangesha fungua nyuzi nyingi sana.Kwenye habari kama hizi hawa nyan'gau huwaga wanajificha, hawatokei.
Wanajifanya kama hawaoni vile. Ha ha ha.Ingekuwa imetokea Tz wangesha fungua nyuzi nyingi sana.
AiseeWatajisifu hata kwa hili tukio. Eti wamekuwa waafrika wa kwanza kuchapwa viboko na wachina, duh.
Wanapita kimya kimya.