Mkemia ni cheo anachopewa mtu hasa aliyesoma masomo ya science hasa Chemistry na kufanya kazi maabara...kuna watu wamesoma food science, biotechnology na lab science na ni wakemia pia...ndiyo maana ukiziona post za Mkemia utakuta wanaohitajika ni waliosoma hayo masomo coz wote wanaigusa chemistry kwenye masomo yao