Mkemia ni nani hasa?

ahsante sana wakuu qwa maelezo yenu coz kuwa mkemia napenda lkn nilikuwa naogopeshwa about employment,,,,,
 
Wasikuogopeshe, kama mkemia unafanya kazi sehemu nyingi mno hasa laboratory za viwandani. kwa mfano viwanda vya soda, vya bia, vya sukari, vya nguo n.k as long as there is lab
 
Kwa uelewa wangu ili uwe mkemia soma bsc. in chemistry. Japo mtu aliyesoma bcs. chemical and process engineering anaweza kuwa; ndo maana mkemia mkuu wa serikali kwa sasa Prof. Manyele amesoma Chemical engineering.
 
ni course nzuri na ajira zake zinapatikana, kikubwa ku'perform kwa GPA nzuri.
 
na anayeelewa bsc. in biology naomba ufafanuzi
 
Sifa nyengine ukinywa kemikali hii dosi vijiko 2x3 basi unapata ujana na uzima wa milele(eternal youth and immortality).
Kemia imetoka mbali.Swadta swali jengine.

mmh bro hiyo kemikal nahis ya kutengenezea ma-vampire
 
ahsante sana wakuu qwa maelezo yenu coz kuwa mkemia napenda lkn nilikuwa naogopeshwa about employment,,,,,

uko level gani saizi mkuu?
 
mwalimu hatoki mapovu kirahis dogo

kuna watu akili hazijakuwa wanaleta utani kweny mambo ya muhimu wengne ndo tunapata hapa uelewa hata mwanafunzi akiniambia anataka kusoma hyo namuelekeza vizuri kwa kupitia elimu ya hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…