Ona kama ule mtihani wa Tax mgt officer, watu walikua had na marking scheme, yaani pale hata uwe msongolist vp hutoboi pasipo na Ile marking scheme, kidogo atleast customs ilikua inaeleweka
Kubebana katika taasisi yeyote ni kitu ambacho hakikwepeki hata hapo utumishi kama kubebana kupo tunaweza kusema kwamba ni 15% lakini % zinazo baki hapa ni jitihada za myu binafsi in shot lau kweli tunahitaji kufaulu mitigani yao brothers and sisters ni kusoma na tax kuanzia mngmt mpk custm hakun kigumu maana kitolewacho katika mtihani ule huwa ni kile ambacho mmesoma darasani kulingana na level yako ya elimu. Pia tufaham ya kwamba taxation si kama history hapana inahitaji uelewa mzurivna kuelilewa ila tukikariri tutaishia kusema kila kitu kigumu. WENYE KUBEBWA ACHA WABEBWE LAKIN WENYE KUTUMIA VIPAWA BASI NI MUDA WA KUINYESHA KIPAWA CHAKO NDANIBYA CHUMBA CHA MTIHANI WAO KILA KITUBNI TARGET TU.
Pia kama mtu haupendi ufukara atatumia means mbalimbali kuondokana na ufukara huo hivyo ukiogopa kufeli lazima utasoma sana sometimes tusilalamike ila tuonyeshe kwamba tunaweza .
Dah ndg yangu unajua TRA n mfumo kubebana kupo lkn si % zote lakin kwa nini ukubali/tukubali kudanganyika π€π€ siku ambapo utakuja kuona kwenye a/c y ajira portal zile nafasi hazip basi wawez ksema lolote ila kikubwa tuvumilieni kwanza