Mkeka wa TRA lini?

Hii Ngoma itavutwa hadi July basing na interview nyingi za TRA
Yaani tangazo litoke October then Waite interview June,yaani miezi 9 baada ya tangazo Lao.

Kitu Kama hicho kilishawahi kutokea kabla?
 
Naona ni hii ndo wanachelewa sana
Naona na aliyekua boss wa utumishi Xavier ametolewa na kwenda kua naibu katibu mkuu,huku Waziri wake nae akitolewa hio nafasi na kua Waziri wa Michezo.

Mambo Ni mengi aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…