Jiulize swali dogo kama mchakato unapitia utumishi hao wanjitolea jeshin waliomba?Nasikia kuna mkanganyiko kidogo wanataka kuchukua watu wanaojitolea jeshini kama ilivyo kua kwenye usaili wa Uhamiaji kwa hivyo kama hujapita jeshi ni tatizo
TRA na jeshi wapi na wapi Mkuu?Nasikia kuna mkanganyiko kidogo wanataka kuchukua watu wanaojitolea jeshini kama ilivyo kua kwenye usaili wa Uhamiaji kwa hivyo kama hujapita jeshi ni tatizo
Nasikia kuna mkanganyiko kidogo wanataka kuchukua watu wanaojitolea jeshini kama ilivyo kua kwenye usaili wa Uhamiaji kwa hivyo kama hujapita jeshi ni tatizo
Sasa haya Mambo mbona sio Safi kabisaaaUbishi si jambo zuri mkuu dadisi fanya uchunguzi
Sasa haya Mambo mbona sio Safi kabisaaa
Matango pori ni mengi mkuu sema watu washapiga msuli na mzigo usha evaporate, huu usaili naskia utasimamiwa na jeshi.kituko hiko acha kuwatisha wenzako kijana.
Mi nimesikia utasimamiwa na CIA wakishirikiana na FBI mkuu.Matango pori ni mengi mkuu sema watu washapiga msuli na mzigo usha evaporate, huu usaili naskia utasimamiwa na jeshi.
Hakika umejua kutufarijiUsaili haujaghairishwa upo pale pale na soon baada ya kula ndizi nyama mtazifikia lakini tukiwa tumechoka ππsana majina yanakuja aminini katika hili nilinenalo kwenu ππππ
Tukutane kwenye interview ya CUSTOM OFFICER II.Hawa mbuzi wa utumishi wanaudhi sana,yani watu tumeapply tangu 23 October 2021 eti mpaka leo hawajaita tu watu kwenye interview. Majitu kama haya ndio Magufuli alikua anayatumbua yakawa yanalalamika kuonewa.
View attachment 2108006
Si mpaka uitwe sasa?Tukutane kwenye interview ya CUSTOM OFFICER II.
TAX OFFICER MANAGEMENT OFFICER II siitaki.
Mi siwezi kwenda kufunga maduka ya watu, sina roho mbaya hiyo.
Ila naweza kufatilia magari ya ving'amuzi (Transit).
#YNWA
Tax management ila naona ni rahisi sana ht ktk mitihani yakeTukutane kwenye interview ya CUSTOM OFFICER II.
TAX OFFICER MANAGEMENT OFFICER II siitaki.
Mi siwezi kwenda kufunga maduka ya watu, sina roho mbaya hiyo.
Ila naweza kufatilia magari ya ving'amuzi (Transit).
#YNWA
Hapana boss wangu ila ukweli ndio ulivyo hivyo majina yatatoka very soon ila kikubwa cha kuzingatia n kujipanga na mitihani yao tu hilo hifadhi kichwani utashuru baadae boss πππHakika umejua kutufariji
πππππTax management ila naona ni rahisi sana ht ktk mitihani yake
Wamekata watu stimu za kupiga msuliDah ila mkuu Bongo nyoso sana. sema hiyo pdf inasukwa sana huenda ikawa inakuja kimkakati sana wanaeza weka kigezo ambacho kitapunguza watu wengi sana.
Soma tu brooWamekata watu stimu za kupiga msuli
Msuli wa semister nzima ya chuo tumeuhamishia TRASoma tu broo