BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,167
muulize kwa nini anacheat? je humridhishi au ni hulka yake? kama kuna mambo ulikua hufanyi umfanyie(i hope sio mambo ya mtandao) la kama ni tabia yake amua kusuka au kunyoa
kutotesheka kimapenzi(kutofikishwa)
migogoro mingi ndani ya nyumba -mtu uamua kutafuta faraja/freshment nje
tamaa-ya pesa au tamaa tu ya kufunua kila sket
raha /hulka tu ya mtu ya kuwa na wengi wengi nje uko
Wapendwa, hana hata sababu, kitandani mwenyewe anaridhika na kunipa BIG UP, kimato sio kibaya, tunakaa wkenye nyumba yetu, tuna watoto, tuna kigari cha kutembelea,nimemwuliza sababu ni nini anasema shetani kampitia, hao wanaume anaonicheat nao hawana lolote, yeye ndo anachukua pesa zangu na kwenda kulipia hotel. Wanaume wotw hao kawapata through internet charting, nifanyaje mwenzenu
Jamani wa jamii, naombeni ushauri wa bure
Mke wangu kanicheat kwa wanaume mbalimbali, nilipomwuliza mara ya kwanza ilkataa na kutaka kuapa through bible, baadaye baada ya kumbana na kuleta vithibiti kakubali kuwa kweli alikuwa ananicheat nifanyaje? je na mie nilipize kisasi?
Pumbafu zake! Toa talaka atakuua huyo! Shetani gani anampitia kila siku? Tena kwa wanaume tofauti?.. Fanya maamuzi magumu..aende akajifunze huyo..Wapendwa, hana hata sababu, kitandani mwenyewe anaridhika na kunipa BIG UP, kimato sio kibaya, tunakaa wkenye nyumba yetu, tuna watoto, tuna kigari cha kutembelea,nimemwuliza sababu ni nini anasema shetani kampitia, hao wanaume anaonicheat nao hawana lolote, yeye ndo anachukua pesa zangu na kwenda kulipia hotel. Wanaume wotw hao kawapata through internet charting, nifanyaje mwenzenu
Mwanamke kucheat mara nyingi huwa kuna sababu sio kama wanaume wao ni taamaa tu

No! Usilipize kisasi, utakuwa unaongeza ugonjwa juu ya ugonjwa. Akupe kwanza sababu za kuamua kucheat, yawezekana ana sababu za msingi.. Pole sana..

uanaume ni vumilivu.

kuna vya kuvumilia sio kumegewa wife
Kilichokushangaza ni Msingi au Cheating???Sababu za msingi ktk cheating??

1. Ni kama zipi mshikiwangu?
2. Aliyecheat ni mwanamke sasa mimi huwa napenda sana kusikia toka kwa "muhusika" sasa ndo nakuulizeni ninyi Sababu za msingi za mwanamke kucheat.
ah, upo swahiba? miss u a lot!Mwanamke kucheat mara nyingi huwa kuna sababu sio kama wanaume wao ni taamaa tu
Mwamamke aki-cheat ni kweli kuna sababu.
1.Ikiwa mwanamme amecheat na akija ndani kutokana na kwamba ameshajitosheleza huko nje anakua hampi Mkewe haki yake ya ndoa.
2.Maumivu ya maisha ya ndoa kutokana na kutodhaminiwa na mume au ndugu wa mume, anatafuta faraja kwa mtu/watu wengine ambapo mahusiano yao yakiendelea kwa mda mrefu, anajikuta ametumbukia kwenye mapenzi na alikokua anatafuta faraja/campan.
3.Kutokua wawazi ndani ya ndoa kati yenu wawili, inachangia kusalitiana.
4.Kutomfikisha mkeo kileleni pia ni tatizo kubwa. Tunafahamu sio rahisi mke kufika kileleni haraka kutokana na kwamba hisia zake zinakua mbali compared to mwamamme, ila kinachoumiza na kumfanya mwanamke kushindwa kuvumilia ni pale Mme anapokataa/mvivu kuonesha jitihada zozote za kumridhisha mkewe. Anapata haja yake, anageuza mgongo analala/ au anaendelea na shughuli zake nyingine. Mfano mimi mume wangu hua anageuza mgongo na kuanza kuchat/ku-browse kwenye Simu yake wakati nikitamani hata anikumbatie nipate faraja.
5.Kutosameheana mnapokoseana na kuweka kisasi, kutokua na tabia ya kujadili na kusulihisha pale mnapokoseana.
6. nk nk...
Wapendwa, hana hata sababu, kitandani mwenyewe anaridhika na kunipa BIG UP, kimato sio kibaya, tunakaa wkenye nyumba yetu, tuna watoto, tuna kigari cha kutembelea,nimemwuliza sababu ni nini anasema shetani kampitia, hao wanaume anaonicheat nao hawana lolote, yeye ndo anachukua pesa zangu na kwenda kulipia hotel. Wanaume wotw hao kawapata through internet charting, nifanyaje mwenzenu