The secretary unikome, Arushaone sio hawara yangu bali ni mume wangu halali wa ndoa......... Zile kampen zako na Erickb52 zimegonga mwamba atiii!!!!!!!!!!!!!
Btw, nakupa hi sana korodani la Bishanga
hakunaga zaidi yake mi na yeye
my cousin nini tena huyo anataka kukukera hajui ni mwezi umepita tumesherehekea ndoa yako? achunge sana ulimi wake la sivyoooooo

Wake wenzio hawana talaka ujue
la sivyo whaaat ahahaha pombe twainywa hata kwa kibuyu
Wake wenzio hawana talaka ujue
my cousin nini tena huyo anataka kukukera hajui ni mwezi umepita tumesherehekea ndoa yako? achunge sana ulimi wake la sivyoooooo
mbona unamsumbua binamu yangu hivyo,? amekukosea nini tena?
la sivyo tutamuita Passion Lady, charminglady na sweetlady na mama yetu measkron tumchangie...... Hatujuieeeee!!!!!!!!!

mke wangu The secretary embu njoo faragha achana huu uzi naona hauna tija darling ushachafuka.