Mke wangu pokea toba yangu

Mke wangu pokea toba yangu

The secretary,
La'aziz mboni ya jicho langu,
Nyongo mkalia ini,
Kondom mvaliwa niniliyu,
Pilipili mnogesha kachumbari,
peteroli mwendesha gari,
Miwani mwangazia macho,
Korodani mbeba kikojoleo,
Najuta kwa yote niliyokutendea,
Sio mimi ilikuwa ni shaitwan,
Naapa tena naapa,
Nikitembea tena nje,
Na nitumbukie mto ruaha,
Mamba wote wanigeuze kitoweo,
Kuanzia leo sipepesi tena macho.
Naapa haya mbele ya mashahidi,
si wengine ni:
Husninyo afrodenzi na Michelle.

Hapana Bishanga.. Ila mamba wanyofoe tu kifanyia chako hiko.. Halafu uwe unatuangalia mashababi tunavyovitumia vifanyia vyetu hadharani..

cc Paloma..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom