The secretary piga chini haka kajamaa!
Kameshaishiwa sera!
Subiri mi nirudi Tiizedi (Tz) nije nikuunganishie new bid kwa dogo langu, ufaudu malaji ya bata mama.
Tema vimtu vilivyochoka!
Sawasawa ?
Darling The secretary ume enjoy? Kilikuwa kitam eh? Lala mpenzi.
Cc: Lady doctor na lady furahia.......chezeiya katerero
cousin, The secretary ameshaathirika kisaikolojia mambo aliyokuwa anafanyiwa na Bishanga ni makubwa
hahahaaa......... We sosoliso wewee..... Nitakumaindi ujuee!!!!!
Basi shem Lady doctor nisamehe.. Sirudii tena mie kusema hayo.. Ni Bishanga huyo ananishadadia kuwasema wewe na King Mswati..