Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,077
The secretary, la'aziz mboni ya jicho langu, nyongo mkalia ini, kondom mvaliwa niniliyu, pilipili mnogesha kachumbari, peteroli mwendesha gari, miwani mwangazia macho, najuta kwa yote niliyokutendea, sio mimi ilikuwa ni shaitwan, naapa tena naapa, nikitembea tena nje, na nitumbukie mto ruaha, mamba wote wanigeuze kitoweo, kuanzia leo sipepesi tena macho. naapa haya mbele ya mashahidi, si wengine ni: Husninyo afrodenzi na Michelle.