Mke wangu nimemtimua leo

Gia mpya ya kuwatokea.....
 
Lakini hata mama yako pia ni mwanamke mana umesema hutaki mwanamke wa aina yoyote na mama ako nae pia ni kundi la wanawake umelisahau hilo apo rekebisha kiduchu kaka mkubwa.
 
Mkuu pole sana. ... yani. Umevumilia mpaka jamaa akaoa ndio umuache. .. duh yako Kali..,. Lakini Mrudie Mkeo kwani njia kuu Kuna Foleni bora mchepuko wakati Mwingine.
 
Kupenda tena utapenda tu!!

Ila kwa sasa jipe mapumziko!
 
Mimi tabia zake nilikuwa nazijua toka mapema ila niliogopa kukuambia sababu huambiliki!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnamtia hasira
 
Ulithibitisha vipi kua anakusaliti ?, nisaidie kipengele hiki pls
 
a
hahah kumbe
 
Mkuu
Mkuu big up. Hupendagi mambo ya ujinga kama mimi. Vitu vingi umgharamie kisha akuletee ujinga. Ni dharau na mwanaume usipende dharau.
 
Hapo kwenye ...nilimpa kila kitu" ondoa kabisa ungempa kila kiti asingekusaliti kuna alicho kosa
 
Poleeeeee achana na wanawake pita kwa kina ss hutojutaaa
 
Mkuu,izo kweli n sabab za maana za mwanamke kucheat au una bifu na jamaaa tu
 
Ni pm namba yake mkuu nami nijipatie jiko maana tunaambiwa mke mwema anatoka kwa bwana
 
Mhhhhh!!! Pole sana jamani, mahusiano haya mh!!! Yaan nikiwaza kuolewa, roho inatetemeka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…