Mke wangu, Nimekuchoka!

Credio

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
56
Reaction score
119
Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.

Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.

Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.

Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.

Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.

Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
 
ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…