Mke wangu ni Waziri, naombeni mnishauri hiki kitu....

Mwanaume unalia lia Kama mjinga.

Mwanaume akitaka kupandisha thamani yake kwa mwanamke mjinga basi sharti awe mhuni yaani awe Playboy mpaka mkewe ajue. Lazima heshima iwepo.

Pia heshima ya mwanaume kwa mwanamke mwenye hekima ni kuwa na upendo wa kweli wenye uaminifu.
 
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...
Vumilia tu ndugu au uoe mke wa pili akusaidie kuhandle majukum ya nyumbani na unyumba
 
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...
Tafuta wakukuliwaza mkuu, stress za Nini utakufa bure....mwache akutunzie watoto na kujenga maisha yenu we kula Raha kwa akili...
 
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...
Mwanamke yeyote mwenye nasaba na siasa katika ngazi yoyote haaminiki hata kidogo. Hata kama si mwanasiasa ila aliwahikufanya siasa chuo au kujaribu kugombe nafasi yoyote ya siasa anatabia ya UONGO. Utadanganywa wewe mpaka basi. Kama yeye ni waziri unakuwaje whatsap wakati wote? kazi kwa wewe ndo unajua vizuri mazingira na tabia ya mkeo!
 
Relax meen.. Mwanaume unapunguaje kilo kwa sabab ya wivu wa kimapenz.. Wewe cha kufanya tumia pesa yake kula raha tafuta katoto ka chuo kanachojielewa mwaka wa kwanza au wa pili jilie taratiiiiibu.. Ikiwezekana mpangishie hata nyumba yeye akiwa dom na wewe unakuwa kwa kimwana unajilia maisha.. Acha kujipa stress kuwaza papuchi moja wakati papuchi zimejaa.. Life z too short kuwa na mastress ya kijingajinga
Papuchi zinaweza kuwa nyingi ila kuna ile moja moyo wako umekufa na kuoza ukitoka tu kwa mchepuko, unamkumbuka umpendaye
 
kwani hamkukaa uchumba kumsoma tabia zake?mkuu kama anakuonyesha waziwazi hakujali inabidi kujifikiria kufanya maamuzi magumu...kunusuru uhai wako…..
 
Kama papuchi ipo mkuu usiwe na wasiwasi!

Lakini vidume vya ccm vinavyo penda papuchi sidhani kama wataibakiza salama

Wakikaa kwenye vile vikao vyao

Hawa siyo watu wa kuoa:
Msanii
Mwanasiasa
Mwanajeshi
Daktari/nesi

Presha juu ya presha!
Umesahau Askari
 
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...
we chukua demu mkeo akiwa hana nafasi unakuwa na huyo demu
 
Don't stress because of the love of a woman hata kama ni makamu wa raisi..ebu simama kwa nafasi yako kama mwanaume, usimfuate Dodoma wala nini, tafuta pesa kaa na watoto wako vizur (kama wapo)wapeleke shule wasaidie homework tunza wakwe last but not least mind your business and see if she won't seek companionship with you, sikushauri utafute mchepuko things will be worse. Ukiona habadiliki wafuate wasimamizi wa ndoa yako waeleze yanayokusibu then other steps will follow.

Ni hayo tu.
 
Ukitaka kuujua ukweli wa wanawake wew mpe kilemba atakuonyesha rangi yake halisi...
 
Back
Top Bottom