Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
Kabisa [emoji4] [emoji4]Ama kweli pesa sio kila kitu,wakati sisi tunatafuta pesa wenzetu wanazo lakini hawana furaha!
Wakati huohuo sisi tusiokuwa na pesa tuna furaha.
Inashangaza sana!
Kuna siku nitakupa 'ubuyu' [emoji12] wa hawa watu jinsi walivyo na depression kwenye maisha yao private ukiacha yale maisha ya kujitutumua kwenye TV! Utawahurumia [emoji17]