The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 774
Waite wote wawili nyumbani kwako, sokota fimbo ya ufito mwembamba, chapa wote hadi waombe poo!Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015,baada ya kuishi nae miaka kama mi 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita nikafanya hivyo baada ya kama lisaa nikawa nishafika nyumbani,nikamkuta mke wangu kakaa chini sebuleni kama analia afu mdada wa kazi kasimama...nikamuuliza mdada kuna nini hapa akaniambia naona kama dada kapandisha
MKEO NI MCHAWI.Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015,baada ya kuishi nae miaka kama mi 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita nikafanya hivyo baada ya kama lisaa nikawa nishafika nyumbani,nikamkuta mke wangu
Kama ile ya Eric Shigongo.. Mama angu anakula Nyama za watuDuh, hadithi nzuri sana hii [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hii kitaalamu tunaita Double Chance.Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015,baada ya kuishi nae miaka kama mi 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita nikafanya hivyo baada ya kama lisaa nikawa nishafika nyumbani,nikamkuta mke wangu
Hii sio hadithi mkuuDuh, hadithi nzuri sana hii [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ndio mama hana madhara kwangu ila mke ananiambia kuwa anataka kuchukua uhai wake hivi karibuni!..MKEO NI MCHAWI.
Hata kama mama ni mchawi hana madhara kwako, tangu upo tumboni hadi. leo hii, angetaka kukuua mbona angekumaliza mapema sana?
mwisho kabisa,
Ingia kwenye maombi na ukitaka msaada wa maombezi karibu PM yangu. Bure kabisaa
Aisehhhh ukisikia vyuma vimeumana ndiyo hiiHabari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015,baada ya kuishi nae miaka kama mi 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi
Asante mkuu, ila yeye hakusema kama anaweza kuona ya mbeleni bali ana uwezo wa kuona mauza uza ndivyo nilivyo muelewaKama stori yako ni ya kweli, hapo wote wachawi hapo...
Mama yako kakiri kuwa na 'karama ya kuona' watu wabaya, halafu kakupa nawe dawa ili uweze ona mauzazuza ya mkeo, kuwa na karama haina maana unakuwa na uwezo wa kutengeneza dawa...kama anatengeneza dawa huyo ni fundi tayari
Pia kwa mkeo ni wale wale tu, ana uchawi wa maruhani, na kitendo cha yeye kukupa dawa ina maana na yeye ni fundi...
Nina swali moja, kama mama yako ana karama ya kuona mauzauza, iweje hakuona kabla mwanamke uliyenaye hajawa mkeo?
Itakua wamejuana kwa muda mrefu katika tasnia ya kuwanga sema sasa kuna mmoja ni mzoefu/mjuzi kuliko mwenzake sasa wana kitu kama maslahi hivi wanapigania usijetolewa kafara wewe..ila mama yako nae ni noma aisehhhhHabari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015,baada ya kuishi nae miaka kama mi 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita nikafanya hivyo baada ya kama lisaa nikawa nishafika nyumbani,nikamkuta mke wangu kakaa
Kama Imani yako inaruhusu fanya maombi kama hairuhusu nenda kaongeze tatizo kwa waganga.Ndio mama hana madhara kwangu ila mke ananiambia kuwa anataka kuchukua uhai wake hivi karibuni!..
What if ni kweliDrama tu za wanawake.
Na ligi zisizoisha za Mama mkwe na mke.
Sasa mchawi nani na mwenye jini ni nani?..pia kumeisha ingia viapo vya kutaka kutoana uhaiweee achana nao kaka sema wapende wote tu na uchaw wao ila kwa navyskia majin ayapendan na wachawi ... tengeneza mazingira ya kuish nao ivo ivo