Mke wangu ni HIV Positive

Mke wangu ni HIV Positive

cancer ni noma kaka..ukimwi mtu mwenye hela anaweza kucheza nao mgonjwa hateseki .cancer hata uwe na sh ngapi lazima ikusoteshe vibaya mno

Ukimwi si wa hivyooo km unavyodhani..ila kumbuka ni wetu sote
 
Chezea Natalia wewe, hiyo china ni mwanzo tu bado hajakuelezea alivyopokelewa na benzi nyeusi airport na msafara wa mafisadi,, business class seat kwenye KLM ya enzi hizo walizokaa uncle na mama yake nat,, bila kusahau zile check ups walizofanya germany, london na paris wakati wanataka ku prove anaumwa ugonjwa gani...

Ila jamani Ukimwi usikie tu kwa watu,, temea mate chini usikutokee, japokuwa kuna magonjwa yanatisha zaidi kama kansa, figo etc but ukimwi bado unasimama kama world biggest threat popote utakapoenda wanauheshimu Ukimwi

Wabongo mna issue .alikuwa Anaishi Huko na mkewe wanafunzi .To be honest nimemkumbuka saaaaana uncle wangu kwa kweli duh .Nimekaa chumbani nilivyoona hii post yaani ikanilumbusha my uncle .He is no longer in pain and I believe he is in heaven .Lesson learned" Aids is a slow death death".maumivu na wengine wako a shamed yaani Love does heal .Dont leave them
 
Last edited by a moderator:
Huu mtihani kwa kweli

Mkeo ndom kila siku inachosha lol
 
Kaka unconditional love it's for good and for worse.kaa nae usifanye nae mapenzi mtunze mpaka hapo mungu atapomwita.

Mapenzi anaweza kufanya with condom. Asiupate siku zote kabla aje aupate ndom ikipasuka no way...najua umakini utaongezeka....it seems huyu jamaa hana receptors za kupokea virus..wapo watu wa dizain hiz
 
Habari zenu wana JF.

Very touching story...ninawapa pole sana.

Hii imewahi kumtokea mtu ninayemfahamu pia.

Mimi binafsi nimebadilisha sana perception yangu juu ya ukimwi siku hizi,..ukweli ni kwamba makali ya ukimwi yamepungua maradufu ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 90. Pengine ni kwa sababu ya dawa zilizogunduliwa na zinazoendelea kugunduliwa siku baada ya siku.

Ukweli ni kwamba wote tuna haja ya kubadilisha mitazamo yetu kuhusu VVU. Kama mtu anaweza kuishi na virusi kwa miaka 30 (na hii ni kwa kiasi cha ubunifu wa tiba kilichoko sasa), ya nini kujitia hofu kama mtu aliyepata ugonjwa wa kumuua kesho? Kwa kasi ya ugunduzi wa tiba unavyoenda, ni wazi kuwa ndani ya miaka 5-10 ijayo watu watakuwa na uwezo wa kupona kabisa kwa kutumia dawa za hospitali tu.

Unaweza kudownload historia ya Magic Johnson kutoka kwenye You Tube, inayoelezea jinsi anavyojilaumu kwa kuacha kucheza basketball mwaka 1991 baada ya kugundulika kuwa ana VVU. Magic anaeleza dhahiri ambavyo alikuwa amefanya maamuzi kutokana na panic, na ambavyo angetamani kuwa ameelewa kama VVU si tishio kama alivyodhani. Sote tuna haja ya kubadilisha mitazamo yetu.

Cha zaidi sana...mimi ni mkristo na nina imani kubwa sana na uwezo wa Mungu wa kusikia na kujibu maombi kupitia kwa damu ya Yesu Kristo iliyomwagika msalabani kwa ajili yetu. Install Emmanuel TV aombe pamoja na TB Joshua na watu wengine wenye imani atapona kabisa (watu wanapona kila siku!!)..Anatakiwa tu kukubali kuacha kabisa zinaa baada ya hapo.

By the way prophet kijana uebert angel wa Miracle TV anadai yeye ameona watu wengi sana wakipona VVU kupitia kwa jina la Yesu kiasi kwamba sasa hivi HIV imekuwa kama mafua kwake...

Ni imani...imani yake itamuokoa.
 
Pole sana hii inatokea sana na nilishawai kukutana na swala kama hili!
Lakini na kushauri ukapime tena sehemu mbili tofauti.

Pia utakuwa tayari kuishi nae mkeo bila kushiriki tendo landoa?
Je mtoto ulimpima?

Unaonekana kumpenda sana mkeo, je unahisi mkeo ameupataje huo ugonjwa?

Mtoto hajazaliwa
 
Very touching story...ninawapa pole sana.

Hii imewahi kumtokea mtu ninayemfahamu pia.

Mimi binafsi nimebadilisha sana perception yangu juu ya ukimwi siku hizi,..ukweli ni kwamba makali ya ukimwi yamepungua maradufu ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 90. Pengine ni kwa sababu ya dawa zilizogunduliwa na zinazoendelea kugunduliwa siku baada ya siku.

Ukweli ni kwamba wote tuna haja ya kubadilisha mitazamo yetu kuhusu VVU. Kama mtu anaweza kuishi na virusi kwa miaka 30 (na hii ni kwa kiasi cha ubunifu wa tiba kilichoko sasa), ya nini kujitia hofu kama mtu aliyepata ugonjwa wa kumuua kesho? Kwa kasi ya ugunduzi wa tiba unavyoenda, ni wazi kuwa ndani ya miaka 5-10 ijayo watu watakuwa na uwezo wa kupona kabisa kwa kutumia dawa za hospitali tu.

Unaweza kudownload historia ya Magic Johnson kutoka kwenye You Tube, inayoelezea jinsi anavyojilaumu kwa kuacha kucheza basketball mwaka 1991 baada ya kugundulika kuwa ana VVU. Magic anaeleza dhahiri ambavyo alikuwa amefanya maamuzi kutokana na panic, na ambavyo angetamani kuwa ameelewa kama VVU si tishio kama alivyodhani. Sote tuna haja ya kubadilisha mitazamo yetu.

Cha zaidi sana...mimi ni mkristo na nina imani kubwa sana na uwezo wa Mungu wa kusikia na kujibu maombi

Ni imani...imani yake itamuokoa.
Good point
 
Very touching story...ninawapa pole sana.

Hii imewahi kumtokea mtu ninayemfahamu pia.

Mimi binafsi nimebadilisha sana perception yangu juu ya ukimwi siku hizi,..ukweli ni kwamba makali ya ukimwi yamepungua maradufu ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 90. Pengine ni kwa sababu ya dawa zilizogunduliwa na zinazoendelea kugunduliwa siku baada ya siku.

Ukweli ni kwamba wote tuna haja ya kubadilisha mitazamo yetu kuhusu VVU. Kama mtu anaweza kuishi na virusi kwa miaka 30 (na hii ni kwa kiasi cha ubunifu wa tiba kilichoko sasa), ya nini kujitia hofu kama mtu aliyepata ugonjwa wa kumuua kesho? Kwa kasi ya ugunduzi wa tiba unavyoenda, ni wazi kuwa ndani ya miaka 5-10 ijayo watu watakuwa na uwezo wa kupona kabisa kwa kutumia dawa za hospitali tu.

Unaweza kudownload historia ya Magic Johnson kutoka kwenye You Tube, inayoelezea jinsi anavyojilaumu kwa kuacha kucheza basketball mwaka 1991 baada ya kugundulika kuwa ana VVU. Magic anaeleza dhahiri ambavyo alikuwa amefanya maamuzi kutokana na panic, na ambavyo angetamani kuwa ameelewa kama VVU si tishio kama alivyodhani. Sote tuna haja ya kubadilisha mitazamo yetu.

Cha zaidi sana...mimi ni mkristo na nina imani kubwa sana na uwezo wa Mungu wa kusikia na kujibu maombi kupitia kwa damu ya Yesu Kristo iliyomwagika msalabani kwa ajili yetu. Install Emmanuel TV aombe pamoja na TB Joshua na watu wengine wenye imani atapona kabisa (watu wanapona kila siku!!)..Anatakiwa tu kukubali kuacha kabisa zinaa baada ya hapo.

By the way prophet kijana uebert angel wa Miracle TV anadai yeye ameona watu wengi sana wakipona VVU kupitia kwa jina la Yesu kiasi kwamba sasa hivi HIV imekuwa kama mafua kwake...

Ni imani...imani yake itamuokoa.

surely hata yeye anaamini hivyo. Nimependa ushauri wako. God bless u
 
Mkuu Supervisor,
Nimesoma post yako hakika ni jambo la ujasiri kulileta hapa na kuomba ushauri hapa JF. Hakika wapo watu wana utaalam hapa na nina hakika mwisho wa siku utapata ushauri wa kuwasaidia. Ila fahamu kuwa uamuzi wa mwisho ni wenu, wewe na mke wako.

1. Kwanza mshukuru Mungu sana kwa kuwa wewe huna VVU. Fikiria mkeo wako mnaishi wote na kutimiza tendo la ndoa ila Mungu akakunusuru wewe. Huenda huo ni mpango wa Mungu kukupima imani yako kuhusu mkeo na pia inawezekana pia umekuwa mzima ili uweze kuonyesha upendo na kumtunza mke wako hadi siku zake za duniani zimalizike. Kwa mantiki hii huna sababu ya kupata mawazo toka kwako au hapa kuwa eti vunja ndoa, nasema hapana ishi na mkeo hadi kifo kiwatenganishe.

2. Naamimini hata Clinic mmefundishwa kuwa unaweza kuwa na VVU na ukazaa watoto salama kwa kufuata masharti ya wataalam wa afya. Hata wewe na mkeo bado mnaweza kuzaa watoto wengine wa kutosha tu na kwa kuwa mna uhakika wa kuwatunza kwa kuwa wewe ni huna VVU. Kuna rafiki zangu wengi mmoja alikutwa na maambukizi miaka ya 2000 kati na mwingine karibuni na wamezaa watoto wazima kabisa bila maambukizi na wana afya njema kwa kuwa walielewesha jinsi ya kumlea mtoto akiwa mchanga na alipatiwa mama dawa kabla ya kujifungua na mtoto punde alipozaliwa. Wanaishi ndoa za furaha wakati mmoja wao hana maambukizi. Namaanisha mnakuwa mnatumia condom ila siku mnataka kupata mtoto mnafundishwa jinsi ya kufanya tendo kwa usalama bila condom na hakuna maambukizi hata chembe.

3. Bado mke wako ni mzuri, mpende sana na mtie moyo sana. Kumpenda kwako na kumtia moyo kutamfanya CD4 ziwe za kutosha na kidonge hatakimeza kabisa kwa muda mrefu sana. Jua kama akikubali hali na akiishi kwa upendo toka kwako anaweza kuishi zaidi ya miaka 10 bila kumeza kidonge na kama akianza kumeza kidonge ana uhakika wa kuishi another 10 to 20 years. Sasa hapo hamjawa wazee? Fahamu kuna maisha baada ya kupata VVU.

4. Mkuu Supervisor, naamini umewahi kuwa na ndugu au rafiki ambaye ameugua ugonjwa wa Cancer au Sukari ya kuzidi sana. Magonjwa haya yanaua haraka sana hasa kama huna uwezo kifedha kwa ajili ya dawa na chakula. Cancer inategemea na kuwa iko damuni, ndani ya mwili kama tumboni, ubongo, mapafu, utumbo, kizazi, etc Cancer za aina hii kama huna uwezo hata miaka 3 ukiishi ni bahati sana. Tumour za nje ya mwili kidongo ndizo unaweza kuishi muda ila nayo inategemena matunzo na dawa. Kwa hali hii kama mtu ana Cancer kuishi miaka 5-10 ni kitendawili sana (japo wachache wenye hela wameweza). Kwa hali hii nasema ni bora uwe na VVU ufahamu mapema uwe unakula balanced diet na kufuata masharti mengine ya wataalam na utaishi over 30-40 years na virusi plus ya ujana kwa hiyo waweza kufa at 60-70 years and above. Kuna mifano hai. Nina uncle wangu alikufa miaka ya 90 na mke yupo tena kijijini chuma cha pua hafi leo wala kesho. Hana wasiwasi. Nina rafiki mwingine ana miaka 10 hata kidonge hajagusa na CD4 ni zaidi ya 1000. Wapo wengi wa aina hii na wameikubali hali.

5. Ninajua unawaza kwa kuwa ungetamani ufanye tendo la ndoa bila kinga, hakika ni kweli. Lakini fahamu si lazima sana. Zipo condom nzuri na ikivaa ladha ni murua tu. Tumia condom kwa usahihi, jitahidi kufanya romance za kissing maeneo ya nje ya mwili na yapo mengi ya kusisimua tu si lazima deep kissing (toungue na kule kunako kwenu wote). Nina hakika utaridhika tu. Mbona tunatembea na vicheche tangu tukiwa vijana miaka na miaka hadi mtu unapooa? Kwani kuna madhara gani. Binafsi sijaona tabu ya kutumia condom.

6. Narudia tena mpende mke wako, mpe nafasi katika maisha na maendeleao yenu, fanyeni siri na mwisho wa siku utavikwa medani ya upendo na kujali.

Ninakutakia kila la heri na usikubali kuachana na mke wako, atapata shida na atakufa haraka utabaki na kovu la kumnyanyapaa maisha yako yote.

Dedicted Love forever!!!
 
Habari zenu wana JF.

Poleni na mihangaiko ya wiki nzima na leo hatimaye mmerejea kulijenga taifa. Jamani nimejitokeza leo kuwaeleza true story ya maisha yangu na kama kuna ushauri basi nitaupokea. Mimi nilioa kwa ndoa takatifu mwez Sept 2012. Ilipofika Nov 2012 Mke wangu alipata ujauzito na kila m2 kati yetu akawa na furaha.

Sasa ilipofikia muda wa kwenda clinic kama ilivyo ada mnatakiwa kuwa wote ili kuweza kupata nasaha na hatimaye kupima maambukizo ya HIV. Baada ya yote tukapima na yeye Mke wangu akakutwa anaishi na virus va UKIMWI na mimi niko salama kabisa. Kwel alilia sana na Nurse akapata shida sana ya kumbembeleza hatimaye akatulia na tukatoka akwa na uso wa tabasamu bandia.

Tulipofika nyumban kilio kilianza upya na mimi nikionekana usoni sina hata lepe la hofu wakati moyoni nilikuwa naumia sana. Baadae ucku akaniomba kuwa kwa sababu Kanisani tulifundishwa kuwa ndoa yaweza vunjwa kama mmoja wapo akionekana ni malaya. Ki ukwel mimi nilimkatalia nikamwambia Mi ni wake mpaka kifo kitakapo tutenganisha, wala hakuamini macho yake.

Kwa sasa anaonekana yuko at least normal ki akili na leo ameenda kazini. Yeye binafsi ni muumini mzuri na anapenda kwel kuimba na kumsifu Mungu. Naomba ushauri wenu tafadhali.
Mungu akubariki kaka angu uwe na wisdom ujue cha kufanya .Matatizo kila mtu anayo ila yanazidiana God is source of love and strength.May God bless you and big HUG from me and my family
 
Mkuu Supervisor,
Nimesoma post yako hakika ni jambo la ujasiri kulileta hapa na kuomba ushauri hapa JF. Hakika wapo watu wana utaalam hapa na nina hakika mwisho wa siku utapata ushauri wa kuwasaidia. Ila fahamu kuwa uamuzi wa mwisho ni wenu, wewe na mke wako.

1. Kwanza mshukuru Mungu sana kwa kuwa wewe huna VVU. Fikiria mkeo wako mnaishi wote na kutimiza tendo la ndoa ila Mungu akakunusuru wewe. Huenda huo ni mpango wa Mungu kukupima imani yako kuhusu mkeo na pia inawezekana pia umekuwa mzima ili uweze kuonyesha upendo na kumtunza mke wako hadi siku zake za duniani zimalizike. Kwa mantiki hii huna sababu ya kupata mawazo toka kwako au hapa kuwa eti vunja ndoa, nasema hapana ishi na mkeo hadi kifo kiwatenganishe.

2. Naamimini hata Clinic mmefundishwa kuwa unaweza kuwa na VVU na ukazaa watoto salama kwa kufuata masharti ya wataalam wa afya. Hata wewe na mkeo bado mnaweza kuzaa watoto wengine wa kutosha tu na kwa kuwa mna uhakika wa kuwatunza kwa kuwa wewe ni huna VVU. Kuna rafiki zangu wengi mmoja alikutwa na maambukizi miaka ya 2000 kati na mwingine karibuni na wamezaa watoto wazima kabisa bila maambukizi na wana afya njema kwa kuwa walielewesha jinsi ya kumlea mtoto akiwa mchanga na alipatiwa mama dawa kabla ya kujifungua na mtoto punde alipozaliwa. Wanaishi ndoa za furaha wakati mmoja wao hana maambukizi. Namaanisha mnakuwa mnatumia condom ila siku mnataka kupata mtoto mnafundishwa jinsi ya kufanya tendo kwa usalama bila condom na hakuna maambukizi hata chembe.

3. Bado mke wako ni mzuri, mpende sana na mtie moyo sana. Kumpenda kwako na kumtia moyo kutamfanya CD4 ziwe za kutosha na kidonge hatakimeza kabisa kwa muda mrefu sana. Jua kama akikubali hali na akiishi kwa upendo toka kwako anaweza kuishi zaidi ya miaka 10 bila kumeza kidonge na kama akianza kumeza kidonge ana uhakika wa kuishi another 10 to 20 years. Sasa hapo hamjawa wazee? Fahamu kuna maisha baada ya kupata VVU.

4. Mkuu Supervisor, naamini umewahi kuwa na ndugu au rafiki ambaye ameugua ugonjwa wa Cancer au Sukari ya kuzidi sana. Magonjwa haya yanaua haraka sana hasa kama huna uwezo kifedha kwa ajili ya dawa na chakula. Cancer inategemea na kuwa iko damuni, ndani ya mwili kama tumboni, ubongo, mapafu, utumbo, kizazi, etc Cancer za aina hii kama huna uwezo hata miaka 3 ukiishi ni bahati sana. Tumour za nje ya mwili kidongo ndizo unaweza kuishi muda ila nayo inategemena matunzo na dawa. Kwa hali hii kama mtu ana Cancer kuishi miaka 5-10 ni kitendawili sana (japo wachache wenye hela wameweza). Kwa hali hii nasema ni bora uwe na VVU ufahamu mapema uwe unakula balanced diet na kufuata masharti mengine ya wataalam na utaishi over 30-40 years na virusi plus ya ujana kwa hiyo waweza kufa at 60-70 years and above. Kuna mifano hai. Nina uncle wangu alikufa miaka ya 90 na mke yupo tena kijijini chuma cha pua hafi leo wala kesho. Hana wasiwasi. Nina rafiki mwingine ana miaka 10 hata kidonge hajagusa na CD4 ni zaidi ya 1000. Wapo wengi wa aina hii na wameikubali hali.

5. Ninajua unawaza kwa kuwa ungetamani ufanye tendo la ndoa bila kinga, hakika ni kweli. Lakini fahamu si lazima sana. Zipo condom nzuri na ikivaa ladha ni murua tu. Tumia condom kwa usahihi, jitahidi kufanya romance za kissing maeneo ya nje ya mwili na yapo mengi ya kusisimua tu si lazima deep kissing (toungue na kule kunako kwenu wote). Nina hakika utaridhika tu. Mbona tunatembea na vicheche tangu tukiwa vijana miaka na miaka hadi mtu unapooa? Kwani kuna madhara gani. Binafsi sijaona tabu ya kutumia condom.

6. Narudia tena mpende mke wako, mpe nafasi katika maisha na maendeleao yenu, fanyeni siri na mwisho wa siku utavikwa medani ya upendo na kujali.

Ninakutakia kila la heri na usikubali kuachana na mke wako, atapata shida na atakufa haraka utabaki na kovu la kumnyanyapaa maisha yako yote.

Dedicted Love forever!!!
Bless you
 
Good point

Magic Johnson ni tajiri na anakunywa dawa 22 kwa siku.Na hapo Bado maji yanamjaa nyuma ya shingo .AIDS inakuwa ngumu pale watu wanavyomsema vibaya mgomjwa na watu wengi wanafanya Siri na aibu .
 
Mkuu Supervisor hongera kwa ujasiri huu ndugu yangu. Ushauri wangu sina zaidi ya kukuombea na kukutakia kila la heri unapoendelea na safari hii yenye majaribu na baraka nyingi kama ukiihandle vizuri. Fuata ushauri wa wana JF waliokupa toka mwanzo, sina haja ya kurudia

Mungu akubariki
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Supervisor,
Nimesoma post yako hakika ni jambo la ujasiri kulileta hapa na kuomba ushauri hapa JF. Hakika wapo watu wana utaalam hapa na nina hakika mwisho wa siku utapata ushauri wa kuwasaidia. Ila fahamu kuwa uamuzi wa mwisho ni wenu, wewe na mke wako.

1. Kwanza mshukuru Mungu sana kwa kuwa wewe huna VVU. Fikiria mkeo wako mnaishi wote na kutimiza tendo la ndoa ila Mungu akakunusuru wewe. Huenda huo ni mpango wa Mungu kukupima imani yako kuhusu mkeo na pia inawezekana pia umekuwa mzima ili uweze kuonyesha upendo na kumtunza mke wako hadi siku zake za duniani zimalizike. Kwa mantiki hii huna sababu ya kupata mawazo toka kwako au hapa kuwa eti vunja ndoa, nasema hapana ishi na mkeo hadi kifo kiwatenganishe.

2. Naamimini hata Clinic mmefundishwa kuwa unaweza kuwa na VVU na ukazaa watoto salama kwa kufuata masharti ya wataalam wa afya. Hata wewe na mkeo bado mnaweza kuzaa watoto wengine wa kutosha tu na kwa kuwa mna uhakika wa kuwatunza kwa kuwa wewe ni huna VVU. Kuna rafiki zangu wengi mmoja alikutwa na maambukizi miaka ya 2000 kati na mwingine karibuni na wamezaa watoto wazima kabisa bila maambukizi na wana afya njema kwa kuwa walielewesha jinsi ya kumlea mtoto akiwa mchanga na alipatiwa mama dawa kabla ya kujifungua na mtoto punde alipozaliwa. Wanaishi ndoa za furaha wakati mmoja wao hana maambukizi. Namaanisha mnakuwa mnatumia condom ila siku mnataka kupata mtoto mnafundishwa jinsi ya kufanya tendo kwa usalama bila condom na hakuna maambukizi hata chembe.

3. Bado mke wako ni mzuri, mpende sana na mtie moyo sana. Kumpenda kwako na kumtia moyo kutamfanya CD4 ziwe za kutosha na kidonge hatakimeza kabisa kwa muda mrefu sana. Jua kama akikubali hali na akiishi kwa upendo toka kwako anaweza kuishi zaidi ya miaka 10 bila kumeza kidonge na kama akianza kumeza kidonge ana uhakika wa kuishi another 10 to 20 years. Sasa hapo hamjawa wazee? Fahamu kuna maisha baada ya kupata VVU.

4. Mkuu Supervisor, naamini umewahi kuwa na ndugu au rafiki ambaye ameugua ugonjwa wa Cancer au Sukari ya kuzidi sana. Magonjwa haya yanaua haraka sana hasa kama huna uwezo kifedha kwa ajili ya dawa na chakula. Cancer inategemea na kuwa iko damuni, ndani ya mwili kama tumboni, ubongo, mapafu, utumbo, kizazi, etc Cancer za aina hii kama huna uwezo hata miaka 3 ukiishi ni bahati sana. Tumour za nje ya mwili kidongo ndizo unaweza kuishi muda ila nayo inategemena matunzo na dawa. Kwa hali hii kama mtu ana Cancer kuishi miaka 5-10 ni kitendawili sana (japo wachache wenye hela wameweza). Kwa hali hii nasema ni bora uwe na VVU ufahamu mapema uwe unakula balanced diet na kufuata masharti mengine ya wataalam na utaishi over 30-40 years na virusi plus ya ujana kwa hiyo waweza kufa at 60-70 years and above. Kuna mifano hai. Nina uncle wangu alikufa miaka ya 90 na mke yupo tena kijijini chuma cha pua hafi leo wala kesho. Hana wasiwasi. Nina rafiki mwingine ana miaka 10 hata kidonge hajagusa na CD4 ni zaidi ya 1000. Wapo wengi wa aina hii na wameikubali hali.

5. Ninajua unawaza kwa kuwa ungetamani ufanye tendo la ndoa bila kinga, hakika ni kweli. Lakini fahamu si lazima sana. Zipo condom nzuri na ikivaa ladha ni murua tu. Tumia condom kwa usahihi, jitahidi kufanya romance za kissing maeneo ya nje ya mwili na yapo mengi ya kusisimua tu si lazima deep kissing (toungue na kule kunako kwenu wote). Nina hakika utaridhika tu. Mbona tunatembea na vicheche tangu tukiwa vijana miaka na miaka hadi mtu unapooa? Kwani kuna madhara gani. Binafsi sijaona tabu ya kutumia condom.

6. Narudia tena mpende mke wako, mpe nafasi katika maisha na maendeleao yenu, fanyeni siri na mwisho wa siku utavikwa medani ya upendo na kujali.

Ninakutakia kila la heri na usikubali kuachana na mke wako, atapata shida na atakufa haraka utabaki na kovu la kumnyanyapaa maisha yako yote.

Dedicted Love forever!!!

Wonderful message jaman. JF tumaini lipo na nashukru kukutana na watu wenye maono kama wewe. Mungu atakulipa muda wako
 
Good good advice..napenda watu jm nyie lazma tujali binadamu wenzetu..n how they feel..sio tu kujali ndg zetu..ht kwa watu km@ supervisor wanaohitaji msaada..ubarikiwe
 
Pole sana ni mtihani mkubwa lakin pia ni fundisho kwa wengine kuingia katka ndoa kabla ya kuangalia afya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom