AIDS took my uncles life it was early 1990s ,I was devastated,nilikuwa high school .wakati huo AIDS unasikia tuu but that was home my uncle ambae always nilikuwa nasema if anything happens to my mom he will be there to take care of me.He was humble,giving and lovely yaani mama angu alikuwa Analia anakaa Kwenye bathtub anamiomba mungu usiwe AIDS well it was AIDS claiming nu uncles life .Alianza kuumwa kichwa,kichwa yaani mama angu akasikia kunadawa China akampeleka Huko wapi ,alikaa Huko kwa Muda wa Miezi 3 .siku anarudi kwa kweli sikwenda Aiport my mom driver na uncle zangu 9 ( I was blessed with a lot of uncles ) basi nipo nyumbani chumbani naona gari Hilo kuchungulia dirishani Kwenye Geti dah,my uncle yaani amekwisha kabisa yaani wamenipa kibahasha tu abebe ,basi yaani mama angu spent massive aHabari zenu wana JF.
Poleni na mihangaiko ya wiki nzima na leo hatimaye mmerejea kulijenga taifa. Jamani nimejitokeza leo kuwaeleza true story ya maisha yangu na kama kuna ushauri basi nitaupokea. Mimi nilioa kwa ndoa takatifu mwez Sept 2012. Ilipofika Nov 2012 Mke wangu alipata ujauzito na kila m2 kati yetu akawa na furaha.
Sasa ilipofikia muda wa kwenda clinic kama ilivyo ada mnatakiwa kuwa wote ili kuweza kupata nasaha na hatimaye kupima maambukizo ya HIV. Baada ya yote tukapima na yeye Mke wangu akakutwa anaishi na virus va UKIMWI na mimi niko salama kabisa. Kwel alilia sana na Nurse akapata shida sana ya kumbembeleza hatimaye akatulia na tukatoka akwa na uso wa tabasamu bandia.
Tulipofika nyumban kilio kilianza upya na mimi nikionekana usoni sina hata lepe la hofu wakati moyoni nilikuwa naumia sana. Baadae ucku akaniomba kuwa kwa sababu Kanisani tulifundishwa kuwa ndoa yaweza vunjwa kama mmoja wapo akionekana ni malaya. Ki ukwel mimi nilimkatalia nikamwambia Mi ni wake mpaka kifo kitakapo tutenganisha, wala hakuamini macho yake.
Kwa sasa anaonekana yuko at least normal ki akili na leo ameenda kazini. Yeye binafsi ni muumini mzuri na anapenda kwel kuimba na kumsifu Mungu. Naomba ushauri wenu tafadhali.
Amount of money to make him happy .my uncle alikuwa 38 years old .Basi mama akaamua akakae kwake and make him comfortable na ale balanced diet .Lakini kwa kweli it was the worse experience ever na Kuanzia hapo nikaacha kuwa na boyfriend yaani nilichanganyikiwa mnoooo.AIDS took my no 1 uncle I will never forget that .Kumuona mama angu anahangaika namna ile my mother cried almost everyday .AIDS took my uncle march 2 1993 .Nilijifunza kuwa na mtu mmoja na huyo ndio
Mume wangu mpaka sasa.AIDS is not a laughing matter it kills and destroys.