tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
Jamani jamani jamani....nimedhihirisha unyanyapaa uko kila sehemu...kwanini mumshauri aachane nae., naomba sababu moja..sawa najua ndoa yaweza kuvunjwa., je mnajua anampenda kiasi gani mkewe.? Mnajua huyo mwanamke aliupata ktk mazingira gani..au mnaassume ni umalaya.? Jaribu kujiweka wewe ktk nafasi ya huyo mwanamke..je weww uliyekwenye ndoa..tuseme we ni mwanaume umepata maambukiz haijalishi ni kwa njia ipi..je ni sahihI mkeo akikukimbia.? Hizo ni roho mbaya na mwenyez Mungu hapendi ..mfano tuutoe kwa sajuki thou yy hawakua na magonjwa hayo..je wastara allivyovunjika mguu angekataa kumuoa kisa ulemavu ambao hapo awali hakua nao..Mungu si athuman sajuki huyo huyo kaja kuumwa na huyo mkewe ndo kahangaika nae.. USHAURI wangu umeshafunga ndoa..alounganisha Mungu mwanadam asilitenganishe haijalishi n matatizo gani..huwezi jua mbeleni Mungu atakupa majaribu gani na mkeo huyo huyo unayemuona hafai akakufaa kuliko ndgu yako...mpende mkeo.mpe moyo..mfariji..ukimwi si kufa leo wala kesho..kuna watu wanadunda mjini anatumia septrine tu..kinga ziko juu kiasi kwamba ht kutumia ARV bado..atazaa salama coz kuna dawa za kuzuia maambukizi kwa mtoto atalea watoto wake vizuri iwpo tu hutomnyanyasa na kumnyanyapaa..kuna watu nawafahamu wameishi maisha km yako..cha muhimu ni kufuata ushauri wa wataalamu hutoambukizwa..nakutakia siku njema..mshukuru Mungu kwa kila jambo na hakika utazichota baraka..usihukumu kabla hujahukumiwa hujui ya mbeleni...karibu
Last edited by a moderator: