Jamani wale wenye uzoefu mnielekeze nifanye ili mke wangu ajifungue salama pasipo kumpa maambukizo mtoto aliyeko tumboni wakati wa kujifungua?
UPDATE
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE
Mrejesho mke wangu mwenye HIV + amejifungua salaama kwa operation , kambiwa anyonyeshe mbaka muda wa miezi sita huku mtoto akipata dawa ya kuzuia maambukizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app