Mke wangu ni HIV +, ni mjamzito na anakaribia kujifungua naomba ushauri ili nimnusuru mtoto huyo

Dr. Wansegamila kama upi Dr? Ninachojua nanilichojipanga nikumzui kutonyonyesha mtoto pindi atakapozaliwa , hatoweza kunyonyeshwa nitamnunulia maziwa tu yanayo ruhusiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulikuwa na msimamo wako, ushauri uliomba wa nini? Unapaswa uende na mkeo clinic na ww usikie maelekezo ya kitaalamu kwa afya ya mama na mtoto ili na ww uwe unamkumbusha mwenza wako pindi akipitiwa ebo!
 
Back
Top Bottom