Mke wangu ni HIV +, ni mjamzito na anakaribia kujifungua naomba ushauri ili nimnusuru mtoto huyo

Aisee acha ujinga nipo seriously ktk hali , mke wangu anaenda lakini hakuna care zaidi ya kuchekiwa kama wajawazito wengine ndiomana naomba ushauri hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, nina uhakika na ninachozungumza. Mwanamke mjamzito anakuwa anapata huduma kwenye kitengo cha afya ya mama na mtoto, na siku ya kujifungua watumishi wa hicho kitengo attention yote inakuwa kwake siku hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa pole sana ndugu ila Mungu aendelee kukupa ujasiri ulionao. Kwa kutumia shauri mbalimbali hapa naamini tutaokoa mtoto wetu
 
Clinic muhimu...
Ila watu mna mapenzi na mahaba ya mwili na damu hasa!
Kuishi na +...tena unapiga kavu kavu..ni zaidi ya kupenda na uvumilivu...mno..
Wengine na mtoto angesamehe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wale wenye uzoefu mnielekeze nifanye ili mke wangu ajifungue salama pasipo kumpa maambukizo mtoto aliyeko tumboni wakati wa kujifungua?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahudhurie cliniki katiba kipindi chote cha ujauzito....hususani kipindi cha kuelekea kujifungua..

Mungu awape afya njema mama na mtoto
 
Mkuu ulichesema ni kweli anayetumia dawa ana chance ndogo ya kuambukiza lakini...pia zipo kesi kibao mtu anafanya ngono na mtu ambaye hatumii dawa na anapiga kavu na hapati maambukizi.
Huenda alikuwa anao hata kipindi hujakuwa nae akaanza dozi mapema sana sasa akakaa kimya kukupa taarifa siku mliyoenda kucheki pamoja ndio akajifanya hajui ndio maana hajakwambukiza ingekuwa hatumii dawa kitendo cha wewe kugusa tu ungepata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulichesema ni kweli anayetumia dawa ana chance ndogo ya kuambukiza lakini...pia zipo kesi kibao mtu anafanya ngono na mtu ambaye hatumii dawa na anapiga kavu na hapati maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho mke wangu mwenye HIV + amejifungua salama kwa operation , kambiwa anyonyeshe mbaka muda wa miezi sita huku mtoto akipata dawa ya kuzuia maambukizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom