....hivi, kwako wewe uliyeoa/ kuolewa, au kwako wewe uliyewahi kuoa/ kuolewa au hata wewe unayekaribia kuoa/kuolewa...
Nini tafsiri ya MKE WANGU/MUME WANGU?...fafanua plz 
View attachment 114653
Likes (2k)^^
Kiwakilishi kimilikishi
^^
Mke wangu ni first born baby girl,rafiki yangu,mwili mmoja,nyama katika nyama yangu na mfupa katika mfupa wangu,yeye ndiyo mimi na mimi ndiyo yeye, tafsiri yako Mbu ni ipi?
.....wowww!!! Soulmate, ur back halafu kimya kimya?!... Haya bana, karibu sana.
You are right kabisa, na kweli MwanajamiiOne, he hehehe.... Ngoja wenyewe wakuskie...
"Wangu" imegeuzwa maana au mie tu na weye soulmate ndio twajiuliza maana?!....
Mdahalo umefunguka upya kwa hilo neno, thanks Love 'wangu!'
Originally mume/mke ina maana yule ambaye umefunga nae ndoa bila kujalisha ni kitamaduni, kidini, kimila. Ila kunakuwepo formal ceremony ya kuwaunganisha kama mtu na mumewe. So kuna halali na haramu pia.
^^
Kiwakilishi kimilikishi
^^
Soulmate mimi nitaungana na Babu Dark City, hayo makaratasi, hati, sijui mali ni sehemu au upande mwingine wa shilingi. Maamuzi yoyote ya kumchangua mwenzi wa maisha huambatana na vigezo 'vingine' ambavyo havihusiani na mapenzi ingawa vinacomplement kigezo cha mapenzi. So hata hayo makaratasi yanawezakuwa (au yasiwe) ni sehemu inayokamilisha u-mume au mke wangu..... Kongosho umeua ndege wawili kwa jiwe moja!
Umetafsiri kwa 'tafsiri' yako na umegusia suala muhimu kwamba "makaratasi" na viapo havitoshi kumfanya mtu ni mkeo/mumeo....
Ila, amini usiamini .... Wapo wengi tu ambao wameoana kwa ajili ya hiyo "hati" na viapo pia....and they claim every right watambulike kama Mke/Mume "halali" kukidhi matakwa yao fulani kwa muda fulani...
Soulmate mimi nitaungana na Babu Dark City, hayo makaratasi, hati, sijui mali ni sehemu au upande mwingine wa shilingi. Maamuzi yoyote ya kumchangua mwenzi wa maisha huambatana na vigezo 'vingine' ambavyo havihusiani na mapenzi ingawa vinacomplement kigezo cha mapenzi. So hata hayo makaratasi yanawezakuwa (au yasiwe) ni sehemu inayokamilisha u-mume au mke wangu.
Saaafi kabisa kajukuuu.....
Eti makaratasi? Yana tofauti gani nna vinyago vya kuchonga vya wale jamaa wa pale Mwenge??
Mie nilimwambia Bibi kwamba ndoa yetu ilifungwa (deep in our hearts) siku ile tulipokubaliana kwamba hatuna sababu ya kuendelea kutafuta wengine...kwamba tulishafika Kigoma mwisho wa reli....
Makaratasi hata hayana maana zaidi ya kukidhi matakwa ya kisheria na mambo mengine mengine madogo madogo...
Babu DC!!
Mke/Mume ni kiwakilishi
Wangu ni kivumishi cha kumiliki
Umiliki wa mke au mume huja baada ya tendo la uthibitisho ambalo huitwa ndoa.
Mke au mume huwa na mamlaka juu ya mwenzake kimwili.[/QUOTE watu8 Mke/Mume kiwakilishi nimeipenda na hapo uliposema umiliki wa mke/mume huja baada ya tendo hilo inawezekana kweli but sijaelewa unaposema tendo la ndoa unazungumzia lipi? Lile la kufunga ndoa au lile linguine lol? mana yote ni uthibitisho
watu8 Mke/Mume kiwakilishi nimeipenda na hapo uliposema umiliki wa mke/mume huja baada ya tendo hilo inawezekana kweli but sijaelewa unaposema tendo la ndoa unazungumzia lipi? Lile la kufunga ndoa au lile linguine lol? mana yote ni uthibitisho