..."'Mke Wangu'/'Mume Wangu!'"...Tafsiri!

..."'Mke Wangu'/'Mume Wangu!'"...Tafsiri!

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,876
....hivi, kwako wewe uliyeoa/ kuolewa, au kwako wewe uliyewahi kuoa/ kuolewa au hata wewe unayekaribia kuoa/kuolewa...

Nini tafsiri ya MKE WANGU/MUME WANGU?...fafanua plz 💃🏃

ImageUploadedByJamiiForums1380621110.090908.jpg
 
Mpenzi wangu wa halali? lol

......-mpenzi wa halali!-

Interesting 🙂
Ndio kusema Neiwa kuna wapenzi wa 'haramu' pia....

Ok, tukienda deep kidogo, mpenzi wa halali anastahiki mambo gani afanyiwe nawe unamategemeo gani toka kwake?
 
Last edited by a moderator:
......-mpenzi wa halali!-

Interesting 🙂
Ndio kusema Neiwa kuna wapenzi wa 'haramu' pia....

Ok, tukienda deep kidogo, mpenzi wa halali anastahiki mambo gani afanyiwe nawe unamategemeo gani toka kwake?

Naona kama tunaelekea somewhere..
tukishasema huyu wa kwangu ndo na migogoro inaanza hapo
as if kwa kuwa ni wa kwako anakuwa 'anawajibika' kukupenda hata umuudhi vipi
au hata kama unam treat unfairly ?
 
Mke ni nomino na wangu ni kivumishi kimilikishi, maana yake ni mwanamke unayemmiliki na una haki zote na wajibu naye, kijamii na kisheria pia.
 
Originally mume/mke ina maana yule ambaye umefunga nae ndoa bila kujalisha ni kitamaduni, kidini, kimila. Ila kunakuwepo formal ceremony ya kuwaunganisha kama mtu na mumewe. So kuna halali na haramu pia.

......-mpenzi wa halali!-

Interesting 🙂
Ndio kusema Neiwa kuna wapenzi wa 'haramu' pia....

Ok, tukienda deep kidogo, mpenzi wa halali anastahiki mambo gani afanyiwe nawe unamategemeo gani toka kwake?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....kwa tafsiri za "kawaida" mtu kupata mke/mume huchukuliwa amepata mwenza wa maisha ambaye anafungamana nae kwenye viapizo kama;

- kwa dhiki au faraja
- kwa uzima au ugonjwa
- nk, nk....

Lakini, "vichwani" na mawazoni mwa wengi wetu twaelewa hayo mambo yanaendana na hisia zaidi.
Hisia za upendo, huruma, wivu, chuki, nk....ambayo hujengwa na life experiences za mtu tangu "anapapata akili ya ufahamu wa maisha yake..."

Je, wewe mkeo/mumeo uliyenaye au mtarajiwa, au ex- wako, ana fit vipi mpaka anastahiki "pingu ya maisha"
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Originally mume/mke ina maana yule ambaye umefunga nae ndoa bila kujalisha ni kitamaduni, kidini, kimila. Ila kunakuwepo formal ceremony ya kuwaunganisha kama mtu na mumewe. So kuna halali na haramu pia.

.....very good Neiwa....

Ila bado ume "stuck" kwenye ceremony tu hapo....vipi vile viapo vinavyoambatana na hiyo Ceremony?
Vina maana yoyote kwako kwa huyo mkeo/ mumeo au mtarajiwa kiasi ya wewe kujiridhisha nae?!
 
Last edited by a moderator:
Mke ni nomino na wangu ni kivumishi kimilikishi, maana yake ni mwanamke unayemmiliki na una haki zote na wajibu naye, kijamii na kisheria pia.

.......saaaaafi sana! Masuke....
Tafsiri yako nzuri sana, ila je?
Utakubaliana nami kwamba bila mapenzi na urafiki haki moja baada ya nyingine hukiukwa?!

....ukikubaliana nami, ina maana "UNAWAJIBIKA" pia kwake....
 
Last edited by a moderator:
Mke/mume wangu huwa ina be applied kwa wale waliofunga ndoa na kuchagua ndoa ya mke /mume mmja tu ila kwa wale ndoa ya mme na wake wengi tunasema mume wetu kwa hiyo Mbu ongeza na mume wetu ili mada iende sawa sawia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom