mke wangu muhuni simtaki, nataka mtoto wangu.....

mke wangu muhuni simtaki, nataka mtoto wangu.....

Pole sana mkuu kutokana na experience yangu ninashauri options 2.
a. Marafiki zangu wengi walichofanya ni kuacha mtoto kwa mama yake na wao kuendelea ku supply mahitaji. Hii ni kama mama mtu ni a responsible human being. Kama sio una option ifwatayo:
b. Hii sasa itatokana na uwezo na ubavu wako ambao nina mashaka nao. Jamaa angu alibeba mtoto na kumpeleka kwa bibi na babu yake ambao ni wana hela na walimtaka mjukuu! Tatizo linaweza kua kubwa kwa mtoto kama utamchukua ukae naye wewe tu, mwanamke mwingine lazima kwa namna moja au ingine atamnynyapaa mtoto na kufanya bora abaki kwa mama ake.
Kwahio usiwe mbinafsi, mfikirie mtoto kwanza, fikiria ni mazingira yapi atapata malezi bora zaidi!

Uko sahihi kabisa. Ila shule niliyomtafutia ni boarding kunzia primary ipo jirani na ninapoishi, lakin wamemtorosha mtoto. Baba yke ninauwezo kwn ni lecturer.
 
Mwanaume kulalama hivyo ni makosa makubwa!!we mkeo ataanzaje kukunyima tendo??inaonekana hujiamini kama unamsugua mujarab hawez toka na heshima itakuwepo milele!!

Nilikua namsugua sana tu, sema kisimi nje tu...
 
Mke kama mke mpaka kufikia hatua kama hiyo, lazima kuwe na driving forces.

Kama umemkamata kwa ushahidi wa video cameras, kwanini usiende mahakamani ?

Pia, jichunguze na wewe pia, unaweza kuwa umejaa matatizo si haba ndio maana mama watoto kaamua kwenda mbele!

Sio vdeo camera, ni audi conversation
 
Walitengana vyumba ndo mke kamtoroka. Unajua usipokuwa mwanaume kamili ndo haya mambo ya kuogopa wakwe. Kuna kaka yangu alioa dada aliyedekezwa kwao, alipofika kwa bro akawa hataki kwenda shamba(bro ni mkulima wa viazi). Jamaa alikuwa anamvuta mpaka shamba na kumfundisha namna ya kufanya kazi. Yule dada alikuwa analia na kukimbilia kwao. Jamaa jioni anamfuata na kumtandika mbele ya mama yake. Mama akileta za kuleta jamaa anamchimba beat na yeye. Sasa hivi huyo dada anashukuru jamaa alivyokuwa anamtreat kwani wana maendeleo mazuri na ndie anayesaidia ndugu zake. Huwa anasema kabisa kuwa mama yake alikuwa anampoteza. Wakati mwingine tusilaumu wakwe ila tujilaumu wenyewe kwa kutowaonesha msimamo wetu.

Upo sahihi ndugu. Ila mimi sikua naogopa mkwe, namuheshimu sana. Pia msimamo wangu ndio umenifanya wanichukie. JINSI ILIVYOKUA, KILA RIKIZO MKWE ANAMUITA MWANAE KWA SABABU LUKUKI, MIE NIKIKATAA INALETA SHIDA NA UGOMVI MZITO.
 
Majanga hayo ila mwaume huna cha kupoteza hapo tupia nyingine ndani
 
Huyu anatwanga maji kwenye kinu. Hata akioa mwingine mambo yatazidi kumharibikia. anaonekana an kaproblem haiwezekani mke aondoke tu aache utamu
 
Mchezo mdogo sana. Ila sio simu zote zinaweza kua na setting ya kurecord incoming calls automatically
 
kipusy jichunguze usishindane na nature acha ubabe mke anapetiwapetiwa...mchanganye kimapenzi hata sikiliza mama wala wifi. jiangalie kwanza rafiki im sure una kasoro either kiburi au kununa, kususa... na mashindano ya kijinga ndani ya nyumba
 
Last edited by a moderator:
Huyu anatwanga maji kwenye kinu. Hata akioa mwingine mambo yatazidi kumharibikia. anaonekana an kaproblem haiwezekani mke aondoke tu aache utamu

Njoo nikuonjeshe kaproblem
 
kipusy jichunguze usishindane na nature acha ubabe mke anapetiwapetiwa...mchanganye kimapenzi hata sikiliza mama wala wifi. jiangalie kwanza rafiki im sure una kasoro either kiburi au kununa, kususa... na mashindano ya kijinga ndani ya nyumba
sina hayo mambo mimi. Tatizo lilianza nilipotoka skuli after three years.
 
Last edited by a moderator:
Ww mpaka hapo nshajua sio Mchaga ww,ungekuwa nduguangu haki a nan nakwambia mekuuu tungeshakuzika tayar asee,unajua n nn n kama walvofanya kina Munis Mekuuu
 
Nimegundua mke wangu anatoka nje miez sita sasa kwa ushahidi wa kuwarecord kwa kutegesha recording kwenye simu yake baada ya kuchoka vitimbwi na kutopewa haki ya ndoa mara kwa mara na kuchelewa kurudi home pia safari nyingi kila weekend. Nikaamua kumtenga chumba baada ya kugombana na pia kutopata msaada kutoka kwa ndugu na wazazi wake kwani cku zote wamekua wako upande wake hata afanye baya gani.

Baada ya kumtenga chumba akaanza kushughulikia uhamisho kwan yeye ni mwalimu wa primary. Nilimihamishia mkoa ninao fanya kazi mimi cha ajabu halmashauri ya jiji imempa uhamisho, na mtoto wangu kamtorosha(ana miaka 6) na kwenda kumuanzisha darasa la kwanza mkoa mwingine wakati tayari nilishamtafutia shule nzuri english medium. Naombeni msaada wa mawazo na SHERIA.
acha aende na mtoto,anza upya maisha yako,tatizo lako ni kama langu ispokuwa wa kwangu ni malaya huku kaniganda kanichosa sana sana
 
hizi ndoa kila siku post za maumivu ya ndoa tu hatari sana asee...chukua mtoto wako sepa na fanya yako tu bila kumuwaza tena
 
Daah...pole sana,kiukweli mapenz yanauma,me nakushauri fanya mambo yako ila pata muda wa kutosha kuwa karibu na mtoto kumtembelea,kuwa na mawacliano ya karibu hata akiwa naye huko poa, na uzuri dini yako inaruhusu kuwa na mke mwingine OA..kila la kheri.
i will shed my blood for him. I love him very much, he is my father...
 
Njoo nikuonjeshe kaproblem

yaani kipusy kama huu ndio mfano wa majibu kwa mkeo basi ina safari ndefu ya maisha ya ndoa. too short tempered...... uwiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Siku izi si mnaoa elimu banaa, wanawake wasio na kazi/elimu mnaona vimeo. Hayo ndio matokeo sasa, ila pole vumilia huyo ndio mkeo. Ukioa la7 furugu zinapungua (mawazo yangu tu lkn)
 
Back
Top Bottom