Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 43,776
Kifupi sio rahic kukaa tena kwani yeye kama yeye hana uamuzi wa mambo yake. Mama mkwe ndio anampelekapeleka sana. Na huyo mama alinitamkia kama nimemchoka nimpe talaka yake kwani ndoa za kiislamu hazina kugandana. Pamoja na mambo mabaya aliyonifanyia mtoto wake anashinikiza tuachane
mi unanishangaza kitu ki1.
kutokana na maelezo haya inaonyesha hutakiwi.
ss unahabgaika nn?
huyo mtt wala asikuumize kichwa yupo na mama yake atamlea tu.
we km vp oa tu dini yako inakuruhusu