mke wangu muhuni simtaki, nataka mtoto wangu.....

Sio vdeo camera, ni audi conversation

all in all, hata huo ni ushahidi!

ufanyie kazi ya ziada kaka! nashindwa hata kupata majibu ni jinsi gani ulivyokutana nae mpaka mkaoana!
 
sawa nimekuelewa!lkn inabidi mujenge peace kwaajili ya mwanenu sawa!Fuata nilokushauri juu kama unampenda na kumthamini mwanao!

Yawezekana hata mtoto sio wake. Mtoto ni mali ya mama. Akiamua kusema naye muache aende naye, yakimshinda atatafuta baba halisi wa mtoto na kumkabidhi.
 
Siku izi si mnaoa elimu banaa, wanawake wasio na kazi/elimu mnaona vimeo. Hayo ndio matokeo sasa, ila pole vumilia huyo ndio mkeo. Ukioa la7 furugu zinapungua (mawazo yangu tu lkn)

Wakwetu, wanawake siku hizi wana gharama sana kuwatunza. Bado uongeze na gharama za ndugu zake atakaotaka kuwasaidia. Na wanahamishia kwenu matatizo yao yote! Na wote wamekuwa hivyo,haijalishi amesoma au ni la saba, kahaba nk. Hawana utofauti! Hivyo ni bora huo mshahara wake akaendelea kulelea ndugu zake huku wa kwangu tukifanyia mambo mengine.
 
Yawezekana hata mtoto sio wake. Mtoto ni mali ya mama. Akiamua kusema naye muache aende naye, yakimshinda atatafuta baba halisi wa mtoto na kumkabidhi.
Mtoto ni wangu, yan copytight na mimi, hata nikimsahau ubungo terminal mtu anayenifahamu atamleta hadi om.
 
all in all, hata huo ni ushahidi!

ufanyie kazi ya ziada kaka! nashindwa hata kupata majibu ni jinsi gani ulivyokutana nae mpaka mkaoana!
Kweli kaka naona ndio naelekea huko. Wasinge mzuia mtoto nisinge fanya lolote, ila sasa nataka nikaanzishe kesi mahakamanl.... huyu mwanamke nilikutana nae kigoma nikamuoa huko mi nikaamia mkoa mwingine after marriage tu. Nikamfanyia uhamisho nikaa na miezi kumi nikaenda shule. Kuna siku nilikuta msg za mapenzi za mtu mwingine kwenye simu yake lakin nikasamehe. Nimetoka shule sijakaa nae hata mwaka na nusu yakaibuka haya.
 
SASA, ina maana mlipokutana tu kigoma mkaona!? si ndio?

hamna muda wowote ambao mlikaa pamoja kama wapenzi na kuchunguzana?
 
Yaani kagongwa mara moja tu Ndio useme ni mhuni? Watu wengine bhana huu upuuzi wenu msiwe mnauleta humu. Hebu sema, wewe umewagonga wangapi? Sema na ubaya Wako na uzuri WA mkeo....
 
Mtoto si atakuja tu,lazima akutafute tu...we endelea na maisha huku ukitafuta anaposoma mtoto taratibu,
 
Kivp watu8????

Hutakiwi hapo mkuu na inaonesha huyo mkeo kashaamua maisha yenu yawe hivyo...

Kitendo cha kumuhusisha mama yake inaoneka ushajadiliwa sana na uamuzi uliofanyika umehafikiwa...
 
Wewe hujawah msaliti mkeo?si ajabu wewe ndio zako,mkeo anaonyesha alishachoka,alikua anasubiri sababu ili mtengane,jichunguze wewe,unaweza kua chanzo cha tatizo!mnajua kuwaka mkisalitiwa ilhali nyie ndio zenu,wanawake tunavumilia ila uvumilivu una mwisho,mtu anaamua kutafuta faraja. kwingineeeeeee!na mke kashakuzidi kete kuhamisha mtt,kua mpole tu myamalize
 
Piga chini huyo mke,subiri mtoto miaka 7 mchukue mtafutie shule nzuri asome,ataludi tu huyo na kilio anaomba asamehewe,wewe kitambo ushaweka ndani jiko lingine.
 
U
yaani kagongwa mara moja tu ndio useme ni mhuni? Watu wengine bhana huu upuuzi wenu msiwe mnauleta humu. Hebu sema, wewe umewagonga wangapi? Sema na ubaya wako na uzuri wa mkeo....
hujui na unacho kinena....
 
Wewe hujawah msaliti mkeo?si ajabu wewe ndio zako,mkeo anaonyesha alishachoka,alikua anasubiri sababu ili mtengane,jichunguze wewe,unaweza kua chanzo cha tatizo!mnajua kuwaka mkisalitiwa ilhali nyie ndio zenu,wanawake tunavumilia ila uvumilivu una mwisho,mtu anaamua kutafuta faraja. kwingineeeeeee!na mke kashakuzidi kete kuhamisha mtt,kua mpole tu myamalize
Mpaka sasa yuko lokapu, na kapewa siku saba mtoto awe home kwangu....
 
Wewe hujawah msaliti mkeo?si ajabu wewe ndio zako,mkeo anaonyesha alishachoka,alikua anasubiri sababu ili mtengane,jichunguze wewe,unaweza kua chanzo cha tatizo!mnajua kuwaka mkisalitiwa ilhali nyie ndio zenu,wanawake tunavumilia ila uvumilivu una mwisho,mtu anaamua kutafuta faraja. kwingineeeeeee!na mke kashakuzidi kete kuhamisha mtt,kua mpole tu myamalize

Hujui wala huelewi. Kashawekwa lock up, kapewa siku saba mtoto awe home kwangu.... mtoto ni wetu sote sio atoroke nae kihuni...
 
Yaani kagongwa mara moja tu Ndio useme ni mhuni? Watu wengine bhana huu upuuzi wenu msiwe mnauleta humu. Hebu sema, wewe umewagonga wangapi? Sema na ubaya Wako na uzuri WA mkeo....
Kwani wewe mkeo akigongwa mara ngapi ndio unamuona mhuni?
 
Kaka vumilia, ngoja wamcharaze huko kwanza akiridhika atakuja tu.... vuta subra!
 
Hujui wala huelewi. Kashawekwa lock up, kapewa siku saba mtoto awe home kwangu.... mtoto ni wetu sote sio atoroke nae kihuni...

haya basi nimeelewa utuleteee
muendelezo mkienda mahakamani mtt atakabidhiwa kwa
nani,baba au mama??bora mkae muyamalize!!
 
Back
Top Bottom