Mke wangu muda wote ni kulala

Mke wangu muda wote ni kulala

Hakuna tabia sipendi kama mwanamke kulala...ina kera sana
 
Ingekua anaigiza kulala basi una haki ya kulalamika.km kapima kakuta yuko preg then shukuru Mungu mwombee.the fact that analala ya ukweli then no nid kuworry.
Ua about to b a father of two man.....kip smiling

Kiingereza chako kigumu mkuu....sorry😀😀
 
Mshauri tarehe 25 ampigie magufuli kura yake ili tatizo lake litatuliwe kitaalamu.

Mama mjamzito kumpigia kura magufuli na ccm yake nisawasawa na kuchagua kaburi rako mwenyewe
 
mie nakushauri usije ukachepuka elewa hyo ni mimba subiri iwe kma miez 5 utafaid penz
 
Hebu tafuta muda umvizie na umchungulie maumbile yake...

Unajua huu mwaka wa mabadiliko si ajabu nyeti zake zimebadilika na kuwa za kiume...

Wabongo tumevurugwa kweli kweli 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hana jini mahaba huyo mkeo bali ni mjamzito, ana ujauzito changa mimba ya mwezi1-3 ndo maana analaa sana. Hii ni mwili kubadilika, pia kutooga na wewe ni hali ambayo huwatokea baadhi ya wanawake, mshukuru mungu mnalala pamoja, mwingine hataki hata apate harufu ya mume wake wala kumwona. Vumilia mimba ikikua atakuwa kam kawaida, wa usichepuke. Kwanini uwaze ngono wakati una mke? kuwa mvumilivu
 
Jiongeze, kuna uwezekano mkeo ni mjamzito, na Kila ujauzito unakuja na mambo yake, kuna mwingine anakuchukia kabisa hataki hata kukuona, mwingine anakupenda sana, cha msingi chunguza Kama kweli ni mjamzito Kabla ya mambo mengine...
 
Karibia mwezi sasa bt mimba ya kwanza mbona haikuwa hivi...aisee

mimba huwa zinabadilika na ndio maana mtu anaweza akajifungua salama mtoto wa kwanza lakin wa pili akafanyiwa operesheni,,hiyo n kawaida mvumilie tu akijifungua atakuwa sawa
 
Ana spiritual husband huyo.believe me.solution ni kutolewa hilo dudu kwa mamlaka ya jina la Yesu

Jamani mkuu naomba ufafanuzi spiritual huzband inakuaje niokoe mwenzio nisijekua niko kwenye hilo janga plz
 
Hiyo mimba gani inayopimwa kwa xray au anapima hadi mifupa ya mtoto
Nami nimeshangaa, mimba wanapima kwa x-ray? Huyu jamaa atakuwa bogus, yaani wife anamdanganya mchana kweupee halafu anakuja mbiyo jf. Tumsaidie mimba inapimwa kwa kutumoia ultrasound mkuu, peleka huyo akapimwe.
 
Hospital si kagoma eti hataki kupgwa x ray, mimba alijpma tena mm spo akaja npa taarifa tu ana mimba..bt kinachonikera mi ni kutokuonesha kunijali kama mumewe...sku moja nlihitaji tunda nkaambiwa nifanye haraka kwan hajisikii kufanya khaaaa.

Mimba haipimwi kwa x ray bwana mkojo tu unatosha na ultrasound atafanya but later sana.

Anaweza kuwa mjamzito na usifananishe na mimba ya kwanza kwani mimba zinatofautiana
 
Hospital si kagoma eti hataki kupgwa x ray, mimba alijpma tena mm spo akaja npa taarifa tu ana mimba..bt kinachonikera mi ni kutokuonesha kunijali kama mumewe...sku moja nlihitaji tunda nkaambiwa nifanye haraka kwan hajisikii kufanya khaaaa.

vumilia bro hizo ni tabia zinazotokana na mabadiliko ya kihomoni ya mwili kipindi cha ujauzito. Mwache apumzike mimba inakuja tofauti tofauti kama ni kweli ana mimba vumilia tu mpk akishajifungua ila kuwa nae karibu kipindi hiki na kumwonesha upendo wa dhati
 
Back
Top Bottom