Mke wangu muda wote ni kulala

Mke wangu muda wote ni kulala

Tatizo hata hospitali zetu duni...
Mwambie Oct 25, afanye maamuzi sahihi, aboreshewe huduma hospitalin tupate na wataalam wa saikolojia..
 
ila hizi mimba huwa zinakuja na style jaman! nakumbuka nlivyokaa miezi 9 bila kula mda mwingi ni madrip tu yaan sitak sahan, kitu kikipikwa tu hakipiti mdomoni,

mtu akikaa kwenye kochi nkija tu nahisi jasho la huyo mtu ajiondoka lazime nichukue kitambaa na maji yenye povu nifute haswaaa
 
Nami nimeshangaa, mimba wanapima kwa x-ray? Huyu jamaa atakuwa bogus, yaani wife anamdanganya mchana kweupee halafu anakuja mbiyo jf. Tumsaidie mimba inapimwa kwa kutumoia ultrasound mkuu, peleka huyo akapimwe.

Wewe ndio bogus kama kweli umeshindwa kujiongeza
 
hope1985 Mkuu mbona unahasira hivi ??!! Be like a MAN....
huyo ni binaadamu !! Sisi maRijali niwakuwa hurumia ktk mifumo yao ya uzazi/uke!!
 
Last edited by a moderator:
kanunue pre. test umpime mwenyewe.......mimba zinatofautiana ya pili haiwezi kuwa ya kwanza....... wakati mwingine unatakiwa kujilazimisha kufanya jambo sio kulala tu
 
Mtafute Anna 0656441772 atakusaidia katika kipindi hiki wife yupo mjamzito. Hutajuta.
 
Obviously mapenzi yake kwako yamechuja...its either she's seeing someone else...or shes just not feeling it like b4
 
Obviously mapenzi yake kwako yamechuja...its either she's seeing someone else...or shes just not feeling it like b4

acheni kuwa negative.
pengine kweli mjamzito na kabeba kidume!
 
Punguza kukaa sebuleni...alipo/uwepo! Be creative kdgo, kwa ujumbe wako tu inaonyesha unaboa flani (sio kwa ubaya, yani unafanya mambo kwa kurudiarudia), wanawake waliowengi hawapendi ivo....akiwaza Leo ni kama Jana na juzi anapoteza hamu na wewe.

Mabadilikoooo! Jitahidi kumsoma hasa sasa katika hali yake usijepokea ngumi siku moja kisa unamchungulia anaoga..maana inaonekana mnaishi kwa kuviziana...

Elimu, elimu, elimu...jitahidi!
 
Back
Top Bottom