Mke wangu muda wote ni kulala

Mke wangu muda wote ni kulala

Pengne labda ana jini kuna dada mmoja aliwahi kutoa ushuhuda alikuwa anataaman kulala muda wote kwan akilala alikuwa anaingliwa na anaskia raha sn yaan mpaka kazin alikuwa akpitiwa usingz tu anaingliwa basi akawa ana enjoy sn kumbe lilikuwa jini
 
Huyo dawa yake kumuwahi. Mkitoka kazini oga haraka haraka kisha na ww wahi kulala
 
Mkuu unasumbuka nn, jambo la msingi ni moja tu na ww ukiona kalala unapanda kitandan unalala
 
Hospital si kagoma eti hataki kupgwa x ray, mimba alijpma tena mm spo akaja npa taarifa tu ana mimba..bt kinachonikera mi ni kutokuonesha kunijali kama mumewe...sku moja nlihitaji tunda nkaambiwa nifanye haraka kwan hajisikii kufanya khaaaa.

kudadekii mimi angeniambia hvyo nampa mingumi na mimba yake
 
Nenda nae taratibu you will find out.
 
kuna hako kaugonjwa kweli nliangalia movie ya mr bean inaitwa rat race sehemu yoyote anasinzia hata akiwa anatembea hahahahahah joking. ila muda mwingine uchovu kweli kwani anafanya kazi gani kiongozi
 
Hebu tafuta muda umvizie na umchungulie maumbile yake...

Unajua huu mwaka wa mabadiliko si ajabu nyeti zake zimebadilika na kuwa za kiume...


Hahahaha nimecheka Sana na jibu Hilo jahhahaa aisee
 
Hiyo mimba sio yako,chunguza then unipe majibu haraka.nikwambie lipi la kufanya.
 
Pengne labda ana jini kuna dada mmoja aliwahi kutoa ushuhuda alikuwa anataaman kulala muda wote kwan akilala alikuwa anaingliwa na anaskia raha sn yaan mpaka kazin alikuwa akpitiwa usingz tu anaingliwa basi akawa ana enjoy sn kumbe lilikuwa jini

Mkuu pole! Yawezekana anamimba kweli na imemjia kwa stail tofauti na ya kwanza (kuchoka sanaaaaa halafu imemfanya akuchukie pia )

Kikubwa muonyeshe upendo sanaaaa na pia mwambie kama baba wa huyo mtoto nataka nikathibishe hospital (sio lazima X-ray) , ili nijue nipangaje! Akigoma na hapo Peleka kwenye maombi sasa itakuwa uvamizi
 
Kwa unavyo sema tu ana mimba usigombane nae hata Mimi yashanitokea kwa mke wangu mimba ya mwanzo haikumletea tatizo ya pili ilikua hivyo hivyo
 
Hiyo mimba gani inayopimwa kwa xray au anapima hadi mifupa ya mtoto
 
Back
Top Bottom