Mke wangu mtarajiwa nmemzidi mwaka mmoja tu,

Mke wangu mtarajiwa nmemzidi mwaka mmoja tu,

Rajasili

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
117
Reaction score
10
Wadau Nina Mchumbangu Ambaye Natarajia Kumuoa Mda Mchache Ujao,ila Ye Nmemzidi Mwaka Mmoja Tu,vp Kuna Athar Zozote Nkimuoa Huyo Mwanamke Kwa Kuwa Umr Unakalibiana?
 
Hakuna athari hata kama amekuzidi mwaka mmoja, huyo si ndio mzuri mnaenda nae mpaka uzeeni na mta share common interest all ina all umri hauna shida mdau kama alivyochangia Ndibalema
 
Last edited by a moderator:
Wadau Nina Mchumbangu Ambaye Natarajia Kumuoa Mda Mchache Ujao,ila Ye Nmemzidi Mwaka Mmoja Tu,vp Kuna Athar Zozote Nkimuoa Huyo Mwanamke Kwa Kuwa Umr Unakalibiana?

hapo kwenye bold: inaonekana kama angekuzidi hata mwezi mmoja usingemwoa, acha kuchezea hisia za mwenzako. we ndo unamzidi lakini hujiamini.
 
Usimuoe! Miaka michache ijayo ukiongozana naye itaonekana either upo na mama yako mdogo, shangazi yako au Dada yako wa kwanza.
 
yan muda mchache unamuoa harafu unaomba ushauri huu! tukisema hakufai itakuwaje? mkishapendana umri hauna nafasi ata kama angekuzid
 
Wanasema 'age is nothing but a number'

Dah mkuu umenikumbusha,kuna jamaa kanipa hiyo leo eti "if age is nothing but a number then jail is nothing but a room"

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu hili swali lako gumu sana,kwasababu unasema mda mchache ujao mnategemea kuwa kwenye ndoa.Hebu assume kwamba majibu ya wengi yatakuwa HAPANA,je utamuacha??Kama utamuacha huoni kuwa utakuwa umechezea hisia zake???Hili swali ni zuri mwanzoni mwa mahusiano.Mtazamo tu mkuu.
 
Mkuu usimuoe..mmepishana kidogo sana..me niliwahi kumtoa dem bikra ila nilikuwa nimemzidi miezi na ilitosha mimi kumuacha..tena dem nilimtoa bikra akiwa chuo!!! inaumiza lakini ndo ukweli huo..
 
Mkuu usimuoe..mmepishana kidogo sana..me niliwahi kumtoa dem bikra ila nilikuwa nimemzidi miezi na ilitosha mimi kumuacha..tena dem nilimtoa bikra akiwa chuo!!! inaumiza lakini ndo ukweli huo..

ukifanya maamuzi ya kijinga, na hujajua kwamba ni ya kijinga utapoteza wengi sana!
 
Usimuoe! Miaka michache ijayo ukiongozana naye itaonekana either upo na mama yako mdogo, shangazi yako au Dada yako wa kwanza.

unamchanganya mwenzio kabisaaaa! Mana harusi mwez ujao!
 
Wenzio criteria ndo zilichuja wachumba,wewe ushampata ndo unakumbuka criteria!!!!!!

Wadogo zetu siku hizi kama hamjui mlitakalo!!!!!!

Oa na ukakae kama mwanaume ukileta uvulana huko utatundika uzi humu,God forbid!

Sahau umri kama vigezo vingine vipo wewe mdo kiongozi timiza wajibu wako mtaishi kwa amani na upendo
 
Ahsanten Wadau,!! Kwa Ushaur Mzur,ila Km Ningepewa Athar Za Hvo Ningechambua Na Kutafuta Soln,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom