MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
Wadau Nina Mchumbangu Ambaye Natarajia Kumuoa Mda Mchache Ujao,ila Ye Nmemzidi Mwaka Mmoja Tu,vp Kuna Athar Zozote Nkimuoa Huyo Mwanamke Kwa Kuwa Umr Unakalibiana?
Haina effect kwa maelezo yako hapo juu, ila angekuwa anakuzid ndo angekuwa "anakunyonya damu wakati wa kula kichwa"