pendoharri
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 508
- 306
Kweli hili ni zigo la mpumbavu,ulibeba mwenyew n kama zigo la mavi hakuna wa kukusaidia utalibeba mwenyew. Yani unawaibisha wanaume wenzako ivi.Aki vile waombe msamaha kweli maan c kwa ujinga huu.Jamani nisaidieni,
Huyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia, nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu sana kwangu na mpiganaji sana katika maisha.
Nisaidieni.