Tatizo wanaume wa siku hizi hamuelewi. Mnapenda wanawake wa kusaidiana sana maisha. Hamjui mwanamke hakuumbwa kutafuta pesa. Matokeo yaje ndo hayo. Anakuwa mpiganaji kwa namna yake. Mtasaidiwa sana miaka hii.Jamani nisaidieni,
Huyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia, nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu sana kwangu na mpiganaji sana katika maisha.
Nisaidieni.
Jamani nisaidieni,

Hahahah changamsha gengeHahaaaahhaa!
Jamani hivi hizi mambo ni za kweli huku MMU au story za mazungumzo baada ya habari!
Umeona eeehh!Hahahah changamsha genge
Kweli my hiii c akili ya kawaida.unatakiwa kupiga ngumi za chemba akishakaa ndo unamshaurWatu wengine kabla ya kuwashaur ningekuwa nawalamba makofi kwanza...
Sipendi ujinga mimi![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahahah jamaa alivyomlia timing mtuhumiwa!View attachment 404817
Ndio huyu au.....