Ilianza facebook
mara bbm
mara watsap
sasa instagram
After few years tutakuwa tunaongea vipya vingine
habari zenu,
najuta mke wangu kujua haya masimu ya kufuta futa.yani mwanzo kwa hela yangu nilimnunulia simu hiyo ya kisasa ili aendane na wenzake akaja akaiuza kwani ilikuwa inajizima na istack akarudi kwenye tochi nikaona afadhali tukakaa miezi kadhaa akawa hana simu.
Sasa dada yake akaja akamnunulia simu pana kubwa hapo ndio balaa ilipoanzia yaani amekuwa mgonjwa wa simu yuko instagram kila saa hadi usiku ni huko huko hakuna cha mapenzi wala nini salama labda iishe charge na umeme uwe umekatika.
Nina siku 14 na zaidi hakuna cha mapenzi wala nini akishapika anaingia kwenye simu,mume wake amekuwa simu hasa instagramu.
Sasa nifanyeje?
Hold up, hold up! Where is your authority in your house bro? You have to stamp authority in your house. Tell your wife ukimshika huyo instagram utamharibu sura hadi atashindwa kumaintain eye contact na yeye... Now repeat after me "i will stamp authority in my house"
Ila kiukweli haya madude aka masmart fone yamewachanganya sana wadada wamekuwa kama vichaa yaani kwakuwa wanapenda umbea na udaku basi huko ndio kila kitu
i will stamp authority in my house
Nawe ingia Instagram afu unipe jina nikufollow tumkomeshe si poa???
Tafadhali huyo ni moja ya matatizo yalioletwa na ccm
Ccm wameshindwa kupambana na ujinga
ccm hawana subira
ccm hawana ustaarabu
ccm kila kitu wanajua
ccm wanaona kila asiyemuelewa haeleweki kumbe wao ndio hawaelewi
kwa hasira tuwaondoe ccm ili kuwapunguza wajinga kama fasols