Mke wangu kanishangaza

Mke wangu kanishangaza

UNIQUEMAN1

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
378
Reaction score
450
Tuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma.

Jana nimetoka kuchepuka kutokana na mke wangu kutonisikiliza na kujifanya na yeye ni mwanaume ndani ya nyumba.

Cha ajabu baada ya kurudi kutoka kwa huyo dem, kesho yake mke kaniambia ameota ndoto ambayo nipo na binti.

Kaanza kumuelezea hadi jina ili hali hawajuuani.

Kaelezea hadi alivyokuwa amesukwa . Je,huyu mke wangu ni mchawi?

Duuuuh wataalamu wa ndoto njooni tafadhali.
 
Tumia akili tu kufikiri, huyo katonywa mchezo mzima. Kuna mtu wenu wa karibu alishajua unachepuka hima umemwambia, au umbea wake. Kaogopa kukwambia direct kisa utachukia
Hamna mtu anayemjua mkuu, alitokea singida toka jumapili yupo Dodoma kikazi. Hata kama ni kumjua,hadi jina ataje??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma.

Jana nimetoka kuchepuka kutokana na mke wangu kutonisikiliza na kujifanya na yeye ni mwanaume ndani ya nyumba.

Cha ajabu baada ya kurudi kutoka kwa huyo dem, kesho yake mke kaniambia ameota ndoto ambayo nipo na binti.

Kaanza kumuelezea hadi jina ili hali hawajuuani.

Kaelezea hadi alivyokuwa amesukwa . Je,huyu mke wangu ni mchawi?

Duuuuh wataalamu wa ndoto njooni tafadhali.
Wewe ndiye uliota ukaongea yote
 
Mkuu unakawaida ya kuongea ukiota?
Tuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma.

Jana nimetoka kuchepuka kutokana na mke wangu kutonisikiliza na kujifanya na yeye ni mwanaume ndani ya nyumba.

Cha ajabu baada ya kurudi kutoka kwa huyo dem, kesho yake mke kaniambia ameota ndoto ambayo nipo na binti.

Kaanza kumuelezea hadi jina ili hali hawajuuani.

Kaelezea hadi alivyokuwa amesukwa . Je,huyu mke wangu ni mchawi?

Duuuuh wataalamu wa ndoto njooni tafadhali.
 
Hahahahahah

Back
Top Bottom