Mke wangu kanishangaza

Mke wangu kanishangaza

Muulize hajaota na sababu za wewe kuchepuka..
Kama hajaota mwambie ndoto yakr haijatimka akaote tena.

Ila mkuu nawe acha kuchepuka, michepuko sio dili.
Kuchepuka sio suluhisho
Umejaribu kumueleza mwenzio juu ya yale yanayokukera, mueleze kwanza ukiona hakuelewi, piga red card vuta yule anaekuelewa na kukuheshimu

Binafsi sihangaiki na michepuko, kuhudumia nyumba nyingi sitaki, mke wangu ndio anaestahiki kula mpaka senti yangu, sasa km anazingua huyo hafai kula vyako, timua lete mali sahihi kwa afya ya moyo wako
 
Ukipata Mwanamke wa hivyo ni raha sana kwa sababu sio wewe tu haupo salama, hata yeye akijifanya kukucheat mashetani yanapanda hewani yanatoboa mpaka guest aliyokwenda kufanyia upumbavu wake.
 
Ukoo wa kina Mshana jr kama sikosei na mpwa wa Mshana Jr
 
Wewe utakuwa uliota ukajiropokea hovyo akasikia
 
Atakua ana mashetani huyo.prove me wrong...
Sio mashetani ni PEPO LA UTAMBUZI, HILO PEPO HATA MANABII FEKI HUWA WANALITUMIA, ANAKWAMBIA HISTORIA YAKO TABIA YAKO NA KILA KITU...HAPO LAZIMA AKUTOE HELA KWA KUWA ANAKUWA AMESHAKUTISHA.
 
Tuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma.

Jana nimetoka kuchepuka kutokana na mke wangu kutonisikiliza na kujifanya na yeye ni mwanaume ndani ya nyumba.

Cha ajabu baada ya kurudi kutoka kwa huyo dem, kesho yake mke kaniambia ameota ndoto ambayo nipo na binti.

Kaanza kumuelezea hadi jina ili hali hawajuuani.

Kaelezea hadi alivyokuwa amesukwa . Je,huyu mke wangu ni mchawi?

Duuuuh wataalamu wa ndoto njooni tafadhali.
swali la msingi ni je?,unahisi suluhisho la mgogoro ni wewe kuchepuka?,be a gentleman
 
Sawa mkuu ila yeye ndo msababishi. Hii kukaa zaiidi ya wiki hujasex mke anatoa sababu kibao?mda wa mchana anaongea weeee kula anaongea weeee,subir ufike mda wa kulala.mara mgongo mara tumbo
Lazma muelewe kwamba cc wanawake hatuwezi kuhimili mitombano kila siku at least mpitishie siku tatu ata nne... Sex kila cku inaboa....
 
Kuw makini sana na mambo yako, huyo mkeo siyo mtu wa mchezo mchezo. Hapo kakuambia hvyo ili akili ikukae sawa
 
Tuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma.
Jana nimetoka kuchepuka kutokana na mke wangu kutonisikiliza na kujifanya na yeye ni mwanaume ndani ya nyumba.
Cha ajabu baada ya kurudi kutoka kwa huyo dem, kesho yake mke kaniambia ameota ndoto ambayo nipo na binti. Kaanza kumuelezea hadi jina ili hali hawajuuani.
Kaelezea hadi alivyokuwa amesukwa . Je,huyu mke wangu ni mchawi?
Duuuuh wataalamu wa ndoto njooni tafadhali.
Asikutishe mzee baba. Endelea kuchepuka hadi ukamatwe ukiingiza na kutoa
 
Mchepuko kamwambia mkeo ,itakua kaongea nae,atakua anachati na mkeo ,labda anataka avunje ndoa yako yeye aingie mazima
 
Tuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma.

Jana nimetoka kuchepuka kutokana na mke wangu kutonisikiliza na kujifanya na yeye ni mwanaume ndani ya nyumba.

Cha ajabu baada ya kurudi kutoka kwa huyo dem, kesho yake mke kaniambia ameota ndoto ambayo nipo na binti.

Kaanza kumuelezea hadi jina ili hali hawajuuani.

Kaelezea hadi alivyokuwa amesukwa . Je,huyu mke wangu ni mchawi?

Duuuuh wataalamu wa ndoto njooni tafadhali.
Nakushauri ubonyeze simu yako ##21# ok uondoe tracking zote kwenye simu yako.Ni ushauri wa bure.Kujua kama unafuatiliwa sintakuambia hilo nakusaidia hapo tu.
 
Mkuu subiri kisasi. Hata kama alikuwa mwaminifu sasa .....
 
Back
Top Bottom