Mke wangu kanishangaza

Mke wangu kanishangaza

Angalia simu yako kama ina app usiyoifahamu. Utakuwa umedukuliwa. Over
 
Ulimpga picha mwanamke ukasahau kufuta picha sasa ulupo lala usiku ukiwa umechoka ndipo katika harakati za kupekuwa simu yako alizikuta hizo picha, sasa hana uhakika isipokuwa ana kuset kuingia mkenge imekula kwako
 
Mkate kofi kuwa mkali alafu umwambie kwa ukali kuwa ndoto kama hizo akiota asikuambie tena alafu kaa kiukauzu kauzu atakuwa mpole tuu na atakuogopa
Tuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma.

Jana nimetoka kuchepuka kutokana na mke wangu kutonisikiliza na kujifanya na yeye ni mwanaume ndani ya nyumba.

Cha ajabu baada ya kurudi kutoka kwa huyo dem, kesho yake mke kaniambia ameota ndoto ambayo nipo na binti.

Kaanza kumuelezea hadi jina ili hali hawajuuani.

Kaelezea hadi alivyokuwa amesukwa . Je,huyu mke wangu ni mchawi?

Duuuuh wataalamu wa ndoto njooni tafadhali.
 
Mkuu huyo amejua kila kitu ila anafikiria namna ya kukwambia ndoo anaingia na gia ya ndoto,
 
Hapo unataka akupe Picha alizowapiga ndo utaamini aliwaona au???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana unasema mke wako ndo kidume humo ndani unajua sababu hujui , ni kwa sababu wewe poyoyo mkuu
 
Lazma muelewe kwamba cc wanawake hatuwezi kuhimili mitombano kila siku at least mpitishie siku tatu ata nne... Sex kila cku inaboa....
Kwa hiyo unakubaliana kuwa mke mmoja hamtoshelezi mwanaume?
 
Huyo anatrack simu yako mkeo kakuzidi akili .

Aisee watu wengi wako tracked na wake zao sikuiz nawashangaa sana wanaume wanazidiwa ujanja wa technical stufs na wake zao sikuiz..mfano kuna jamaangu alinipigia simu akinieleza jinsi ambavyo akitumiwa msg na mchepuko ya kumpiga mzinga na mkewe nyumbani anatuma msg na yeye anaomba hela kama ile ile sasa ndio nikamsaidia kuondoa hyo mambo, kumbe mkewe alikuwa kaistall kisoftware kinamtumia msg na kinarecord calls za jamaa kila kitu alikuwa anapata live daaah...
 
Mkuu hyo imewahi nitokea kuna wengine huwa kwel lakin huenda katonywa kuwa makin sana
 
Back
Top Bottom