Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

Dawa ya mwanamke jeuri kama huyo ni kimya tu, tafuta kipawa benki huko umalize mchezo anune wee mpaka acheke!
Mwanamke akianza hizo ujue anapasuliwa nje, au yuko mbioni kuanzisha huo mtindo. Nshamkata sana mabao huyu wangu ila mwisho wa siku nmeamua kushughulika na wengine kaanza jistukia. Simfatilii sana kama zamani
 
Huntsman,

Ni changamoto za maisha . Ila usiwaze wala kufikiria habari ya mchepuko. Tatizo haliwi solved na tatizo .

(1) Kina mama wana tabia ya kuongozwa na hormones na feelings . Ndio wiring yao ilivyo. Pengine kuna neno kali au aina ya huduma hukusema basi ameshaconclude kuwa humpendi. Kosa lake kubwa ni kusema hamna tatizo. Mkuu, kaa nae au toka nae mueleze umuhimu wa open communication, umuhimu wa kuambiana mmoja anapokea na effects za kutotoa ushirikiano kwenye maongezi

(2)Tambua kuwa tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume linakuwa viewed differently. To most men its a biological /physocal neeed kwa mwanamke ni emotinal/ pychological need. Jinsi mnavyoendesha mipango yenu, maongezi yenu yanachangia kiasi kikubwa kuwa mwanamke kuenjoy au kukokuenjoy tendo zima. Mfano katika mipango yenu mawazo yake hayasikilizwi au humpi sababu kwa nini mawazo yake hayafai . Au kuna jambo anaomba na anajua lipo ndani ya uwezo wako na hulifanyi wala humwambii kwa nini hulifanyi au unapangaje. Kingine kama kuna mambo unatumia ubabe/ nguvu ili yafanyike ilhali yeye hajaridhika nayo. Simaanishi kila wakati ufanye anachokataka yeye, la hasha ila kujadiliana na kureason naye kwa nini unaamini hoja yako ina nguvu.
Kama mahusiano yenu ya nje hayana mvuto amini kabisa mwanamke hawezi kuwa na hamu na wewe . Akiwa nayo anajoforce. Utaingia kwenye mawazo mabaya kuwa anachepuka kumbe ana nyongo ya kutomjali , kutompenda, kutomshirikisha mambo ya watoto, fedha, mipango ya familia .
Ufanye nini: Kama unahisi hili ni moja ya tatizo, basi jenga desturi ya kuongea nae, kumshirikisha na kusikia mawazo yake (si lazima utekeleze bali mpe nafasi atoe mchango). Pia jenga desturi ya kuwa nae na kutoka kama wanandoa -sio kutoka na watoto bali nyie wawili. Sio msubiri kualikwa na watu kwenye shughuli zao bali nyie wawili

(3) Madabiliko ya mwili: Sijui umri wenu ila isije kuwa mkeo anasumbuliwa na hormonal imbalance inayepelekea kupunguza hamu ya tendo la ndoa na kuwa na hasira. All in all vyote hivi havihitimishi yeye kukujibu vibaya , ila msamehe tu na rejea namba moja, ongea nae na mueleze madhara ya kutokuwa tayari kuongea na kueleza hisia zako.

Katika yote mwombe Mungu ili umoja wenu uzidi kuimarika , binadamu tu dhaifu ni kwa neema za Mungu tu tunaweza .
 
Yani wewe subiri siku ugunduwe mkeo kuna msela anuniwi anagonga mashine hiyo ndio utazinduka usingizini.

Sasa mkuu kama una chapa nje na mke anachapwa nje what is the marriage life then?
 
Wana MMU,

Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe.

Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church.

Niliporudi home nikala chakula na ndugu zangu tukawa tunaongea hadi jioni sana wakaondoka. Basi baadaye nikamfuata wife chumbani nikamueleza jinsi nilivyomu miss n.k cha ajabu nakuta kanuna tu from no where basi nikakaa naye nikawa naongea naye politely juu ya safari yangu na nikamuonesha returns zote nilizopata etc.

Baada ya chakula cha usiku tumekwenda kulala mwenzangu akaninyima unyumba tena kwa maneno ya kejeli na dharau fulani hivi na majibu ya mkato juu. Nilijaribu kuwa humble na kumuuliza wapi nimekosea lakini jibu lilikuwa hakuna tatizo lolote. Mwishowe alinijubu kuwa nisimsumbue nimuache alale. Ikabidi niwe mpole nilale yaishe.

Asubuhi ilinibidi niondoke tu kurudi kwenye mihangaiko yangu. Tangu siku hiyo hata leo hanitafuti wala chochote kile yupo kimya tu. Katika kuwaza waza nimeona kuwa pamoja na kuomba juu ya hali hii let me do my job and fulfill my part kama baba mwenye nyumba mengine niache kwa muda nione kama atajifunza au la. Sitachepuka kwani am done with michepuko pia sitamuomba unyumba for sometime. Asipojirudi kwa muda fulani nitapanga kuwaelezea baadhi ya ndugu zake kuhusu yeye ili wamwelekeze.

Swali langu ni Je, will that cure the problem? Wewe mwanaume/mwanamke ulishakumbwa na hali kama hii na je ulisolve vipi?

(Wanawake muwe makini sana na jinsi mnavyobehave kwenye ndoa zenu mnachangia sana wanaume kuchepuka bila kudhamiria na mnaharibu nyumba zenu kwa tabia kama hizi)

NB: Jisikie huru kuchangia chochote.
Mada kama hii imemtokea puani ndugu yetu Nazjaz
 
Boss wangu, si hakieleweki? Kanunue pamba mpya, halafu ikifika huo muda wa daku asikupe, cha kufanya kapige shower, piga pamba, tia perfume yako mbele yake, jidai unaongea na simu nakuja sio muda, potea muda huo ruka kwa washkaji tulia huko rudi mida nane nane hivi, fanya hivyo mpaka utaona hayo mawivu, atatulia mwenyewe
 
Huntsman,

Ni changamoto za maisha . Ila usiwaze wala kufikiria habari ya mchepuko. Tatizo haliwi solved na tatizo .

(1) Kina mama wana tabia ya kuongozwa na hormones na feelings . Ndio wiring yao ilivyo. Pengine kuna neno kali au aina ya huduma hukusema basi ameshaconclude kuwa humpendi. Kosa lake kubwa ni kusema hamna tatizo. Mkuu, kaa nae au toka nae mueleze umuhimu wa open communication, umuhimu wa kuambiana mmoja anapokea na effects za kutotoa ushirikiano kwenye maongezi

(2)Tambua kuwa tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume linakuwa viewed differently. To most men its a biological /physocal neeed kwa mwanamke ni emotinal/ pychological need. Jinsi mnavyoendesha mipango yenu, maongezi yenu yanachangia kiasi kikubwa kuwa mwanamke kuenjoy au kukokuenjoy tendo zima. Mfano katika mipango yenu mawazo yake hayasikilizwi au humpi sababu kwa nini mawazo yake hayafai . Au kuna jambo anaomba na anajua lipo ndani ya uwezo wako na hulifanyi wala humwambii kwa nini hulifanyi au unapangaje. Kingine kama kuna mambo unatumia ubabe/ nguvu ili yafanyike ilhali yeye hajaridhika nayo. Simaanishi kila wakati ufanye anachokataka yeye, la hasha ila kujadiliana na kureason naye kwa nini unaamini hoja yako ina nguvu.
Kama mahusiano yenu ya nje hayana mvuto amini kabisa mwanamke hawezi kuwa na hamu na wewe . Akiwa nayo anajoforce. Utaingia kwenye mawazo mabaya kuwa anachepuka kumbe ana nyongo ya kutomjali , kutompenda, kutomshirikisha mambo ya watoto, fedha, mipango ya familia .
Ufanye nini: Kama unahisi hili ni moja ya tatizo, basi jenga desturi ya kuongea nae, kumshirikisha na kusikia mawazo yake (si lazima utekeleze bali mpe nafasi atoe mchango). Pia jenga desturi ya kuwa nae na kutoka kama wanandoa -sio kutoka na watoto bali nyie wawili. Sio msubiri kualikwa na watu kwenye shughuli zao bali nyie wawili

(3) Madabiliko ya mwili: Sijui umri wenu ila isije kuwa mkeo anasumbuliwa na hormonal imbalance inayepelekea kupunguza hamu ya tendo la ndoa na kuwa na hasira. All in all vyote hivi havihitimishi yeye kukujibu vibaya , ila msamehe tu na rejea namba moja, ongea nae na mueleze madhara ya kutokuwa tayari kuongea na kueleza hisia zako.

Katika yote mwombe Mungu ili umoja wenu uzidi kuimarika , binadamu tu dhaifu ni kwa neema za Mungu tu tunaweza .

Amina Asante sana kwa ushauri wako wa kujenga nitauzingatia sana
 
cha msingi hapo kama alivyosema muulize kuhusu ndugu labda ndo tatizo au kama ana kunywa beer mpeleke lazima atafunguka tu akisha lewa.. na pia jichunguze kiasi
 
Yaani ile tumemaliza kuomba usiku akakimbilia kitandani tena ukutani. If she had a problem with me nadhani angesema na nilishamaliza but hawa viumbe ni Padua kichwa sijui nikirudi enzi zangu za michepuko atafurahi?
mkuu kumbe ulishakua mchepukaji?
 
Ni vema ukamwacha kwa muda huku ukitimiza wajibu wako,jaribu sana kumweleza madhala ya jambo hilo atafunguka tu.sidhani nduguvwatasaidia sana ktk hili naona ni la ndani sana jaribu sana kukaa nae.
 
Back
Top Bottom