Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,368
2,000
Wana MMU,

Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe.

Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church.

Niliporudi home nikala chakula na ndugu zangu tukawa tunaongea hadi jioni sana wakaondoka. Basi baadaye nikamfuata wife chumbani nikamueleza jinsi nilivyomu miss n.k cha ajabu nakuta kanuna tu from no where basi nikakaa naye nikawa naongea naye politely juu ya safari yangu na nikamuonesha returns zote nilizopata etc.

Baada ya chakula cha usiku tumekwenda kulala mwenzangu akaninyima unyumba tena kwa maneno ya kejeli na dharau fulani hivi na majibu ya mkato juu. Nilijaribu kuwa humble na kumuuliza wapi nimekosea lakini jibu lilikuwa hakuna tatizo lolote. Mwishowe alinijubu kuwa nisimsumbue nimuache alale. Ikabidi niwe mpole nilale yaishe.

Asubuhi ilinibidi niondoke tu kurudi kwenye mihangaiko yangu. Tangu siku hiyo hata leo hanitafuti wala chochote kile yupo kimya tu. Katika kuwaza waza nimeona kuwa pamoja na kuomba juu ya hali hii let me do my job and fulfill my part kama baba mwenye nyumba mengine niache kwa muda nione kama atajifunza au la. Sitachepuka kwani am done with michepuko pia sitamuomba unyumba for sometime. Asipojirudi kwa muda fulani nitapanga kuwaelezea baadhi ya ndugu zake kuhusu yeye ili wamwelekeze.

Swali langu ni Je, will that cure the problem? Wewe mwanaume/mwanamke ulishakumbwa na hali kama hii na je ulisolve vipi?

(Wanawake muwe makini sana na jinsi mnavyobehave kwenye ndoa zenu mnachangia sana wanaume kuchepuka bila kudhamiria na mnaharibu nyumba zenu kwa tabia kama hizi)

NB: Jisikie huru kuchangia chochote.
Mimi nikinyimwa nachepuka tu halafu napiga kimya
 

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
443
500
Kuna jamaa aliwah kukaa two year bila kupewa K ndo hizi we zione hv tu. Wanawake ni shida hata kama unamkojolesha vzr ipo siku atakununia. Kwao ni kawaida may be kuna kitu kilimsibu we mpotezee mwezi then utapata jibu.
 

malang0

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
442
1,000
Leo bibi umeachangia pumba kabisa, Kijana anaomba ushauri wa jinsi ya kuirudisha ndoa yake iwe na amani wewe unasema hayo ulioyaandika.

Kwa kipindi chote hiko walichokuwa wakiishi pamoja mbona hakumnyima huo mpododo ila imetokea baada ya mheshimiwa kusafiri.

Toa ushuri mzuri kama vile unamshauri mjukuu wako bibi. Nyinyi ndio vibibi vya mwendo kasi mnatoa ushauri kama watoa ramli chonganishi.
Kaa naye muulize tatizo ni nini? huwenda kaingiziwa maneno yasiyofaa si unakumbuka shetani alimwingizia hawa maneno ya uongo, chuguza kwanza.
 

mbavusimba

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
618
500
Wanawake ni watu wa kubadilika badilika sana unaweza kuta hana jambo lolote la maaana la kukunyimia unuyumba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom