Mke wangu kanifokea sana

Mke wangu kanifokea sana

Wasalaam wanajukwaa mimi ni mgeni humu Jf.

Naomeni ushauri mke wangu alisafir kikaz akamuacha beki tatu nyumbani. Siku moja nikampa taulo langu anisaidie kulifua mimi niko bze na mambo ya kikaz narud usiku. Siku wife anarud akamkuta bek tatu anafua taulo langu niliporud kutoka job wife alinifokea sana kumpa bek tatu kufua taulo langu.

Wana jf nipeni maoni yenu je nilifanya kosa kumpa beki tatu kufua taulo langu?
Hapa ungekuja na hoja ya kumtoa manundu wife wako tungeanzia hapo kwa uzuri.ila kutukanwa afu unakuja kuomba ushauli,binafsi nakuhulumia ila ngoja nikutazame tu.
 
Me wangu huwa analalamika siku akinofekea atajuta. Mkanye huyo mkeo mara moja.
Me kwanza nafikiria nitaanzaje kutoa dukuduku,mara nyingi nalimalizia kitandani usiku.....nkiwaza tu kumpandishia sauti mume wangu hata kwa bahati mbaya nahisi ka nimemdharau which is not good,na mwanaume akiona kadharaurika atatafuta pa kuheshimika siku moja
 
Bila shaka ndoa yenu ipo imara na itadumu kama mlivyoapa wakati wa kuoana, bigup sana
 
Mwanaume hafokewi angeongea na ww kwa upole tena mkiwa uchi kitandani,siku nyingine ukiona taulo chafu chukua kitenge chake ogea ukiwa unamsubiria arudi atimize majukumu yake!
 
Wakati ananza tu kufoka ungemtia makofi japo matatu faster then ndio muongee huku akiwa analia, lazima angetoa la moyoni kwa hali ya unyenyekevu kabisa
 
huo ni mwanzo tu, na umekaa kimya unapoelekea utaanza kupigwa kabisa na mkeo, Ila usisahau kuja katuambia kuwa umeanza kupigwa'usimuendekeze ajue mpaka wake
 
dah mkuu ulishindwa kufua mwenyewe taulo ti...mkeo yuko sahihi kabisa
 
Wasukuma bhana! Ndio maana ukifupisha tu hili jina unatukana! Ndio maana wanaulizwa maswali wanasema "Ulitaka niseme Nakupenda"
 
Kama yeye ndie anakufulia nguo zako, na ulikuwa na taulo lingine basi ungeliweka limsubiri.

Ila kama ilikuwa taulo moja tu ndio unasubiri kauka nikuvae, mueleweshe hukuweza kutumia taulo chafu. hapo mwambie unahitaji taulo lingine hata uwe na matatu au zaidi sawa tu.

Ila labda pia ana masharti ya kuzingatia.
Ungetumia hata vitenge vyake!
 
Me kwanza nafikiria nitaanzaje kutoa dukuduku,mara nyingi nalimalizia kitandani usiku.....nkiwaza tu kumpandishia sauti mume wangu hata kwa bahati mbaya nahisi ka nimemdharau which is not good,na mwanaume akiona kadharaurika atatafuta pa kuheshimika siku moja
..Unabusara sana wewe mdada,..Hakika mumeo kapata...
 
Wasalaam wanajukwaa mimi ni mgeni humu Jf.

Naomeni ushauri mke wangu alisafir kikaz akamuacha beki tatu nyumbani. Siku moja nikampa taulo langu anisaidie kulifua mimi niko bze na mambo ya kikaz narud usiku. Siku wife anarud akamkuta bek tatu anafua taulo langu niliporud kutoka job wife alinifokea sana kumpa bek tatu kufua taulo langu.

Wana jf nipeni maoni yenu je nilifanya kosa kumpa beki tatu kufua taulo langu?
Wenzio walikuwa wanapigwa na stuli, we unashangaa kufokewa? Acha first lady wa wasukuma afanye yake....
 
Back
Top Bottom