Mkuu mi naruhusu demokrasia kwenye ndoa namuacha kwanza atoe dukuduku lake kabla sijafanya maamuziMkuu nahisi una ulemavu wa mikono na miguu, nilitegemea ungeandika nimekata makofi na mitama wife baada ya kunifokea.
Hawez kufanya hivo nilimruhusu tu atoe dukuduku lakeKakupiga masingi na vibao vingapi?
Hakuna masharti tulimpatia ila mara nyingi nguo zangu anafua wife. Aliposafir sikuona sababu ya kutumia taulo chafu wakat bek tatu yupoKwan wakat mnamtafuta huyo dada wa kazi mlimpa mipaka nguo za kufua au?
Mkuu hv una nia njema kweliNiandikie namba ya mkeo pm nimkanye hiyo sio tabia nzuri kabisa .
Amemfokea kwa ajili ya ulemavu alonao mwanamme anashindwa kufua taulo mkewe akiwa hayupo. Afu kesho nyo housegirl anafua nguo zangu.Mkuu nahisi una ulemavu wa mikono na miguu, nilitegemea ungeandika nimekata makofi na mitama wife baada ya kunifokea.
HahahaaNa wewe unafokewa unamuangalia tu ukiwaza akimalza naenda kumsemea jamii forums