Rais wa Wasukuma
Member
- Nov 3, 2016
- 55
- 53
Wasalaam wanajukwaa mimi ni mgeni humu Jf.
Naomeni ushauri mke wangu alisafir kikaz akamuacha beki tatu nyumbani. Siku moja nikampa taulo langu anisaidie kulifua mimi niko bze na mambo ya kikaz narud usiku. Siku wife anarud akamkuta bek tatu anafua taulo langu niliporud kutoka job wife alinifokea sana kumpa bek tatu kufua taulo langu.
Wana jf nipeni maoni yenu je nilifanya kosa kumpa beki tatu kufua taulo langu?