Mke wangu kaliwa uroda

Mke wangu kaliwa uroda

Bro huyo pedeshee haja ondoka nayo kachangamsha tu we endelea na Mkeo ila kila nduguyo akipata malaria mkeo atauza mechi... Ni hayo tu..
 
Habari gani wana jf kwa kifupi mimi ni dereva bodaboda kama unavyotambua kazi zetu zina changamoto.Nina mteja wangu anafanya kazi benki Fulani hapa dar-es-salaam jamaa huyu ni kicheche wa kufa mtu alinipenda sana kwa sababu sijawai kuwatongoza mademu wakati nawapeleke na kuwarudisha tofout na madereva wa BODABODA wengine ambao alikiwa anawatumia
Mkasa huko hivi mwaka Jana mama yangu aliugua sana ilihitajika laki nane kwa ajili ya matibabu Mimi Nina Dada zangu watatu ambao hawakujali kumguuza mama mke wangu alikuwa na mtaji wake alitumia kumtibu mama yangu mpk ukafu shida kuipata hiyo laki nane ili afanyiwe uperesheni mke wangu aliniambia kuwa ataenda kukopa vicoba nilikubaliana naye alitoka mchana kwa ajili ya kwenda kukopa huku mimi nikiendelea na Boda ilivyofika SAA Tisa na nusu mchana boss wa benki alinipigia simu nimfate Rambo guest pale manzese nikamchukue mdada nimpeleke kwao wkt naongea naye kwenye simu nilimsikia huyu Dada analalamika amemsaliti mumeo kWa ajili ya shida nilifunga safar mpk guest sikuamini alikuwa ni mke wangu alivyoniona alishituka nikamuwai harakaharaka wewe twende nikupeleke yule boss alinisisitiza huyu ni mke wa mtu mpeleke haraka kwani amemuangaisha sana mke wangu alipanda bila hiyana maan sisi tunaishi magomeni tulivyofika tu agerntina aliniambia nisimamishe pikipiki alishuka samahani najua jinsi gani umeumia alipanda gari ya mwendo kasi za kwenda post nilienda nyumbani nakimfungashia vitu vyake siku hyo hakurudi alirudi kesho yake
Alipofika alianza kulia sana nilikuwa na hasira nilimwambia achukue begi lake nilimpeka mpk ubungo akapanda basi nakuondoka kwenda kwao matombo morogoro alikaa siku mbili nakunitumia SMS ilikuwa inasema.hivi

"Pole sana najua umeumia sana mm nimeumia zaidi zaidi yako nimeuza mwili wangu kwa ajili ya mama yako ila Dada zako hawakujali hilo usiku na mchana wako kwenye madisco unatambua mtaji wangu ulikufa kWa ajili ya mama yako unatambua siku ulivyonichukua guest njian nilishuka nilienda hospital kwa ajili ya kulipa matibabu ya mama yako nilibakiwa na elfu 25 tu ambyo nilitumia kwa ajili ya nauli kuja huku kwenda mama yako ni mama yangu samahan sana kwa kukuumiza nilifanya hvyo mama yako apate matibabu naomb nikuambie Ukweli tangu tuishi sijawi kukusaliti ile ilikuwa ni Mara ya kwanza kutokan nilitumia kila njia ya kupata pesa ya matibabu ilishindikana nakuomba sana unisamehe kwa ilo mimi mama mtoto wako angel naomba ufikiliye kwa hilo "

Je wa jf nimsahehe au ?
Msamehe
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani, cha muhimu badili simu ya mkeo mpe line mpya. Eneo la biashara pia alibadili maana kama mkeo alikuwa anauza vitafuniio jamaa wa benki alinogewa na vitafuniio hadi akataka kuonja vya ndani vimeungwaje.

Shida tuu,kama mkeo alipewa shoo ya kibabe ya malipo ya shilingi laki 8, hatomkumbuka jamaa siku ukimuudhi au kumkera kumbuka alimzungusha sana.

Pole kwa majanga pia mpe pole bi' mkubwa.

Ila itabaki kuwa: KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI.
Enyi wanaume wapendeni wake zenu na kaani nao kw akili!!

kuna siri kubwa ipo hapa kwenye haya maneno!!
 
Hakuna kitu mbaya dunia kwa mwanaume kama hiyo kuchapiwa na ukajua kabisa aisee unaweza ukatafuna godoro kama kama mkate inauma balaa kumpiga huwezi ,kunywa sumu huwezi cha msingi kama hauna dozi najua kabisa utakuwa mgonga vyombo tafuta red wine moja matata saana kunywa then kaa chini tafakari kwa kina saana wapi ulikosea !!
 
Kajitolea uhai wake kwenda guest kuuza mwili, hivi akipata hiv na wewe utauza mwili wako kimuuguza? Anyway maamuzi ni yako
 
Sasa yeye huyo banker alimpataje kama sio michezo yake?
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani, cha muhimu badili simu ya mkeo mpe line mpya. Eneo la biashara pia alibadili maana kama mkeo alikuwa anauza vitafuniio jamaa wa benki alinogewa na vitafuniio hadi akataka kuonja vya ndani vimeungwaje.

Shida tuu,kama mkeo alipewa shoo ya kibabe ya malipo ya shilingi laki 8, hatomkumbuka jamaa siku ukimuudhi au kumkera kumbuka alimzungusha sana.

Pole kwa majanga pia mpe pole bi' mkubwa.

Ila itabaki kuwa: KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI.
Haiwezi kuwa siri ya ndani
 
Nilifundishwa na wazee wangu;'usipende kutoa ushauri kwa watu waliopendana,ipo siku watarudiana na wewe ulietoa ushauri ukaonekana bwege'.nakushauri pambana na ndoa yako,jaribu kuainisha mabaya na mazuri yake na wewe mwenyewe ndio uamue.
 
Elfu lela ulela, esepo, kalume kenge amekataa kwenda shule, tukute imekamilika, isipo kamilika.........
 
Back
Top Bottom