Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,546
Nimesoma nikiwa na huzuni sana nimefika kati nikagundua ni chai, nimekasirika. Hivi hii tabia ya kufanya tupoteze nguvu za kushauri bila sababu za msingi, mmeitoa wapi?
Pole sana mkuuNimesoma nikiwa na huzuni sana nimefika kati nikagundua ni chai, nimekasirika. Hivi hii tabia ya kufanya tupoteze nguvu za kushauri bila sababu za msingi, mmeitoa wapi?
Acha uongo buana Hii ni Movie flan hivi ya kiNigeria.nilishaionaga sema nimesahau jina. sema umebadilisha kidogo mama mkwe badala ya MumeHabari gani wana jf kwa kifupi mimi ni dereva bodaboda kama unavyotambua kazi zetu zina changamoto.Nina mteja wangu anafanya kazi benki Fulani hapa dar-es-salaam jamaa huyu ni kicheche wa kufa mtu alinipenda sana kwa sababu sijawai kuwatongoza mademu wakati nawapeleke na kuwarudisha tofout na madereva wa BODABODA wengine ambao alikiwa anawatumia
Mkasa huko hivi mwaka Jana mama yangu aliugua sana ilihitajika laki nane kwa ajili ya matibabu Mimi Nina Dada zangu watatu ambao hawakujali kumguuza mama mke wangu alikuwa na mtaji wake alitumia kumtibu mama yangu mpk ukafu shida kuipata hiyo laki nane ili afanyiwe uperesheni mke wangu aliniambia kuwa ataenda kukopa vicoba nilikubaliana naye alitoka mchana kwa ajili ya kwenda kukopa huku mimi nikiendelea na Boda ilivyofika SAA Tisa na nusu mchana boss wa benki alinipigia simu nimfate Rambo guest pale manzese nikamchukue mdada nimpeleke kwao wkt naongea naye kwenye simu nilimsikia huyu Dada analalamika amemsaliti mumeo kWa ajili ya shida nilifunga safar mpk guest sikuamini alikuwa ni mke wangu alivyoniona alishituka nikamuwai harakaharaka wewe twende nikupeleke yule boss alinisisitiza huyu ni mke wa mtu mpeleke haraka kwani amemuangaisha sana mke wangu alipanda bila hiyana maan sisi tunaishi magomeni tulivyofika tu agerntina aliniambia nisimamishe pikipiki alishuka samahani najua jinsi gani umeumia alipanda gari ya mwendo kasi za kwenda post nilienda nyumbani nakimfungashia vitu vyake siku hyo hakurudi alirudi kesho yake
Alipofika alianza kulia sana nilikuwa na hasira nilimwambia achukue begi lake nilimpeka mpk ubungo akapanda basi nakuondoka kwenda kwao matombo morogoro alikaa siku mbili nakunitumia SMS ilikuwa inasema.hivi
"Pole sana najua umeumia sana mm nimeumia zaidi zaidi yako nimeuza mwili wangu kwa ajili ya mama yako ila Dada zako hawakujali hilo usiku na mchana wako kwenye madisco unatambua mtaji wangu ulikufa kWa ajili ya mama yako unatambua siku ulivyonichukua guest njian nilishuka nilienda hospital kwa ajili ya kulipa matibabu ya mama yako nilibakiwa na elfu 25 tu ambyo nilitumia kwa ajili ya nauli kuja huku kwenda mama yako ni mama yangu samahan sana kwa kukuumiza nilifanya hvyo mama yako apate matibabu naomb nikuambie Ukweli tangu tuishi sijawi kukusaliti ile ilikuwa ni Mara ya kwanza kutokan nilitumia kila njia ya kupata pesa ya matibabu ilishindikana nakuomba sana unisamehe kwa ilo mimi mama mtoto wako angel naomba ufikiliye kwa hilo "
Je wa jf nimsahehe au ?
gahawa hiiHabari gani wana jf kwa kifupi mimi ni dereva bodaboda kama unavyotambua kazi zetu zina changamoto.Nina mteja wangu anafanya kazi benki Fulani hapa dar-es-salaam jamaa huyu ni kicheche wa kufa mtu alinipenda sana kwa sababu sijawai kuwatongoza mademu wakati nawapeleke na kuwarudisha tofout na madereva wa BODABODA wengine ambao alikiwa anawatumia
Mkasa huko hivi mwaka Jana mama yangu aliugua sana ilihitajika laki nane kwa ajili ya matibabu Mimi Nina Dada zangu watatu ambao hawakujali kumguuza mama mke wangu alikuwa na mtaji wake alitumia kumtibu mama yangu mpk ukafu shida kuipata hiyo laki nane ili afanyiwe uperesheni mke wangu aliniambia kuwa ataenda kukopa vicoba nilikubaliana naye alitoka mchana kwa ajili ya kwenda kukopa huku mimi nikiendelea na Boda ilivyofika SAA Tisa na nusu mchana boss wa benki alinipigia simu nimfate Rambo guest pale manzese nikamchukue mdada nimpeleke kwao wkt naongea naye kwenye simu nilimsikia huyu Dada analalamika amemsaliti mumeo kWa ajili ya shida nilifunga safar mpk guest sikuamini alikuwa ni mke wangu alivyoniona alishituka nikamuwai harakaharaka wewe twende nikupeleke yule boss alinisisitiza huyu ni mke wa mtu mpeleke haraka kwani amemuangaisha sana mke wangu alipanda bila hiyana maan sisi tunaishi magomeni tulivyofika tu agerntina aliniambia nisimamishe pikipiki alishuka samahani najua jinsi gani umeumia alipanda gari ya mwendo kasi za kwenda post nilienda nyumbani nakimfungashia vitu vyake siku hyo hakurudi alirudi kesho yake
Alipofika alianza kulia sana nilikuwa na hasira nilimwambia achukue begi lake nilimpeka mpk ubungo akapanda basi nakuondoka kwenda kwao matombo morogoro alikaa siku mbili nakunitumia SMS ilikuwa inasema.hivi
"Pole sana najua umeumia sana mm nimeumia zaidi zaidi yako nimeuza mwili wangu kwa ajili ya mama yako ila Dada zako hawakujali hilo usiku na mchana wako kwenye madisco unatambua mtaji wangu ulikufa kWa ajili ya mama yako unatambua siku ulivyonichukua guest njian nilishuka nilienda hospital kwa ajili ya kulipa matibabu ya mama yako nilibakiwa na elfu 25 tu ambyo nilitumia kwa ajili ya nauli kuja huku kwenda mama yako ni mama yangu samahan sana kwa kukuumiza nilifanya hvyo mama yako apate matibabu naomb nikuambie Ukweli tangu tuishi sijawi kukusaliti ile ilikuwa ni Mara ya kwanza kutokan nilitumia kila njia ya kupata pesa ya matibabu ilishindikana nakuomba sana unisamehe kwa ilo mimi mama mtoto wako angel naomba ufikiliye kwa hilo "
Je wa jf nimsahehe au ?
Nitajie hyo move ya kinageriaA
Acha uongo buana Hii ni Movie flan hivi ya kiNigeria.nilishaionaga sema nimesahau jina. sema umebadilisha kidogo mama mkwe badala ya Mume
Nina nilipita huko mambo ya paragraph ya nn what do you learn from this &---&& mambo mengine hachAn nayoHakuna paragraph hakuna mkato wala nukta. Mzee baba inamaana hata form four hujajifunza mambo hayo?
Yes madam!....inabidi ajikaze kama Mentor ambavyo huwa anajikaza kiume!!Umemegewa sio?!! Jikaze....

Hivi mkuu na avatar yako hiyo huwa unapata demu JF kweli?!Dah...![]()