Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,434
Temea chini rafiki yangu, hayo si mambo mazuri kusema hapa JF, mimi siwezi kumuua kaka yangu kwa sababu ya mkewe, mbona wanawake wapo wengi tu, tunachofanya ni kufuata matakwa ya mila zetu.
Ni nani kakwambia kwamba kaka yangu kafa kwa ukimwi?
Nishasema kafa kwa ajali mwezi uliopita
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
kama walishakuwa mwili mmoja mbona hamkumzika na huyo mwanamke!!Mke alishakuw amwili mmoja na kaka yangu, tayari ni damu yetu huyo
Alitaka tumpe support ya kile anachoamini yeye.bahati mbaya watu wa kabila lake hawajafika humu.nadhani yuko anawasubiria.Yaani anakuja kuomba ushauri wakati tayari ana majibu ya anachoulizia na ana msimamo wa kutobadirika...
Mke wanngu wa ndoa na huyu mjane sio kabila moja ila wote tuwazaliwa wa mkoa wa Tanga ili makabila tofauti.Huyo mkeo ni wa kabila moja na wewe?? I mean anaufahamu toka awali juu ya hizo mila zenu??
Huyo kaka yangu hakuwa na mali wala nini, mimi ndio naonekana kwetu kuwa nina nafuu hivyo nimetakiwa kumrithi mke wa kaka yangu ili nimsaidie kulea watoto na kumtunza huyo mjane
Munkari punguza munkari haya ni mambo ya mila hayakwepeki na kuyakwepa ni kutafuta laana na mikosi katika ukooyan UMENIKERA! had nimeishiwa maneno! Eti unampenda loh! Mpe kulee talaka yake ! Mila! Mila ! Mila gani za kipuuzi! KUJIENDEKEZA tu! UCHAFU tu ULALE NA MKEO ULALE NA SHEMEJIO khaa HALALI YAKE KUKUOMBA TALAKA MPEEE! Aende zake USIMUUE mtoto wa watu kwa ufinyu wa fikra zako! Baki na huyo shemejimkeo ptuuu!
sasa mimi nifanyeje wakati natakiwa kutimiza matakwa ya mila?Hivi lakini wanamme mna shida
Yaani unalazimishwa kuichomeka spoko yako hata usipopataka?
Angalia utapata laana mwanamke, mambo ya mila sio ya kuchezea utaokota makopo ohooooo!!!!heheeeeee!khaaaa!mila?dunia yenyewe hii?!!!!hata ningekua mimi ningejiandikia talaka mwenyewe nisingekusubiri!!!!
Angalia utapata laana mwanamke, mambo ya mila sio ya kuchezea utaokota makopo ohooooo!!!!
sasa mimi nifanyeje wakati natakiwa kutimiza matakwa ya mila?
Sio kwamba mimi ndio kiherehere niliotaka kumrithi huyo mjane wa kaka yangu ila yeye ndio kanichagua baada ya kuulizwa na wazee kwenye kikao.
kama nikkataa nitatengwa na ukoo na nitaishia kupata mikosi